VIDEO MPYA HIYO YA ZAIKO LANGA LANGA ( NYOKA LONGO ) FURAHIA MIONDOKO YA VIMBAH !!!

Bonyeza Kichwa cha Habari upate kutizama Video Safi kabisa iliotulia !!! ALBUM BANDE D’ANNONCE

ZAIKO  LANGA LANGA  yabaki Bendi Bora Inchini Congo na Hata Africa Nzima, Group Mama iliodhihirisha vipaji vya Wasanii walio wengi,na bado ipo imara hadi leo hii baada ya takriban Miaka 40 tokea ianzishwe,Ingawa Baadhi ya Wasanii wakiwepo pia  Waandishi wa Habari wanashindwa kukubaliana na hilo nakuzipa kipaumbele Group nyingine zilizo jaa na khashfa na malumbano kila siku.

Hongera Kwako Ya JOSSART NYOKA LONGO,kwakuendelea kutuletea Furaha na kuzidi kuimarisha kikosi cha Group na Vijana walio jaa na vipaji na wenye kujiheshemu…

 

                                               L.W.L 

Advertisements

4 Responses to VIDEO MPYA HIYO YA ZAIKO LANGA LANGA ( NYOKA LONGO ) FURAHIA MIONDOKO YA VIMBAH !!!

  1. Anonymous says:

    imetulia sana kaka, nyoka longo anatisha

  2. Very great web site and excellent and posts.precious style and design, as share good stuff with great suggestions and concepts.

  3. I am really loving the theme/design of your site. Do you ever run into any browser compatibility problems? A number of my blog audience have complained about my website not operating correctly in Explorer but looks great in Chrome. Do you have any suggestions to help fix this issue?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: