TIZAMA VIDEO WERRASON AKIPOKEA TUZO LA MSANII BORA AFRICA 2014

Malizia siku yako na VIDEO ya WERRASON NGIAMA MAKANDA, akipokea Tuzo mbili JIJINI ((Beverly Hills California).INCHINI  AMERICA . Tuzo la kwanza kapewa WERRASON palealipo chaguliwa kama MWANAMUZIKI BORA WA AFRICA, na Tuzo lapili kapewa kutokana na GENERIC ya ALBUM TECHNO MALEWA kuteuliwa kama Bora zaidi AFRICA.

Kwenye Video hii, Mtamuona WERRASON akiwa Jukwaani nakufanya SHOO huku akisaidiwa na HERITIER WATANABE na SANKARA DE KUNTA.

WERRASON katoa shukrani zake kwa wote ambao wanaendelea kumsapoti.

 

L.W.L

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: