WERRASON MFALME WA WANYAMA KAWA BINGWA WA MUZIKI WA AFRICA

10414391_722537561150077_3321655877962062918_n 10516782_722537604483406_8898783068165489273_n 10593034_722412674495899_2762784870848150450_n (1) 10593034_722412674495899_2762784870848150450_n 10616543_722537494483417_6372502492105488009_n 10619978_722561621147671_4207638753034015973_o 10633413_722561844480982_2092587039034103419_o 10636401_722561791147654_5163016590214783930_o 10672249_722537414483425_5090120602529154840_n 10676128_722412617829238_7865068470554078944_n 10678815_722561501147683_4609251982143688809_n 10696409_722412707829229_5711357260701239855_n 10698443_722561667814333_1156473166317403255_n 10708793_722618027808697_6021983607346101571_o

 

WERRASON KAPOKEA TUZO MBILI MUHIMU SANA USIKU WA KUAMKIA LEO INCHINI AMERICA ( MSANII BORA WA AFRICA, NA GENERIC  TECHNO MALEWA IMEPEWA TUZO LA GENERIC BORA )

Bofya kwenye kichwa cha Habari kwa maelezo zaidi, pia upate kutizama picha mbalimbali za WERRASON

MDA MCHACHE ULIOPITA , TUMEPOKEA MATOKEO YA MSIMU WA INNE WA TUZO LA NAFCA AMBAO MWAKA HUU SHEREHE IMEFANYIKA INCHINI AMERICA JIJINI (Beverly Hills California).

Oscars African NAFCA ni tuzo iliyoundwa kwa ukamilifu kwa madhumuni ya kukuza Sinema, Muziki, na Utamaduni wa bara la Afrika.

WERRASON NGIAMA MAKANDA ambae katika List yakumjua Nani Msanii wa Mwaka, kashindania Tuzo hilo na Wasanii wenye majina ntawataja : ” Davido, Flavour, Tiwa Savage na Top-One Frisson ”

HONGERA ZETU ZADHATI KWAKO NGIAMA MAKANDA LE ROI DE LA FORET WERRASON

 

Lubonji Wa Lubonji

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: