WEEKEND NJEMA NA WIMBO ” BA RUMEURS ” / MANENO YAMTAANI UTUNZI WA DAHMU MANERO

 

BA RUMEURS / MANENO YA UVUMI YASIO NAUKWELI WOWOTE

Bofya kwenye kichwa cha habari utate kutizama video na Tafsiri ya maneno !!!

Namona té kasi nayoka na matoi an!!! / NIYANENAYO SIJAWAHI KUYAONA BALI NIMEYASIKIA

Nayoka que Franco Luambo akufa na nyama an!!! / NIMESIKIA FRANCO LUAMBO KAFA KWA MARADHI YA UKIMWI

Il parrait Abeti Masikini nde apesa yeee / YASEMEKANA MAGONJWA HAYO KAAMBUKIZWA  NA ABETI MASIKINI

Abeti azua yango Chez Ministre dans le passé / ABETI MASIKINI MWENYEWE PIA KAPEWA  NA WAZIRI  MUSTAAFU

Nayoka Wazekwa alingaka basi bakufa an / NASIKIA WAZEKWA HUA AKIFANYA MAPENZI NA MAITI

Il parrait bakanga ebembe na coffre naye!!! / YASEMEKANA WALIMKUTA AKIWA NA MAITI WAKIKE KWENYE GARI LAKE

Nalobi namona teee mais nayoka ndee / NASISITIZA YOTE HAYO SIJAWAHI KUYASHUHUDIA BALI NIMEYASIKIA

Il parrait Werrason abota na danseuse nayeee / YASEMEKANA WERRASON KAZAA NA MOJA WA MA DANCER WAKE

Nayoka Baby Ndombe alala na mwasi nayeee / NIMESIKIA BABY NDOMBE KALA URODA NA MKEWE (WERRASON)

Il parrait Fally Ipupa azalaka pédé / YASEMEKANA FALLY IPUPA NI MSENGE

Nayebi tee soki eza ya solo mais nayoka yangooo / SINA UHAKIKA WA MANENO HAYO BALI NIMEYASIKIA

Nayoka mpe JB Mpiana amela ligorodo / NIMESIKIA JB MPIANA KAMEZA CHURA

Namona té kasi nayoka na matoi an!!! / NIYANENAYO SIJAWAHI KUYAONA BALI NIMEYASIKIA

Nayoka Vieux wana amelaka naye bangi an!!! / NIMESIKIA MZEE HUYO NIMVUTAJI MZURI WA BANGI

Nayoka Tshala Mwana abimaka na an!an!an / NIMESIKIA TSHALA MWANA HUA ANATEMBEA NA AN!AN!AN!!!

Nakoloba kombo te mpe bakoya koboma ngaa!!! / WALA SIMTAJI JINA WASIJE WAKANIUA!!!

Nayoka mpo na forme Wemba ateka frère naye !!!/ NASIKIA ILI CHATI YAKE IZIDI KUA JUU, WEMBA KAMPITISHA MDOGO YAKE!!!

Il parrait Grand Mopao alelaka naye bana mike / YASEMEKANA GRAND MOPAO (KOFFI OLOMIDE) HUA ANATEMBEA NA WATOTO WADOGO

Nayoka Madilu Système était empoisonné!!! / NIMESIKIA KIFO CHA MADILU SYSTÈME CHATOKANA NA SUMU

Baloba Makintoch abeta Héritier mabeee!!! /YASEMEKANA MAKINTOCH (BILL CLINTON) KAMPIGA VIBAYA SANA HÉRITIER WATANABÉ

Il parrait Ferré gola akufaka avant Album / YASEMEKANA FERRÉ GOLA KABLA HAJATOA ALBUM MPYA HUA ANAFARIKI

Nayoka Cindy apesaa mpo asala Album an!!! / NASIKIA CINDY KABLA YAKUKUBALIWA ALBUM YAKE ITOLEWE, KALAZIMIKA KUTOA VITU…

Nalobi na mona tee mais nayoka nde / NARUDIA TENA HAYO YOTE ,SIJAYAONA BALI NAYASIKIA!!!

Nayoka Mj 30 azalaka nae bula an!!! NASIKIA MJ 30 NI CHANGUDOA AN!!

Namona ba photos tango akenda na zambie an!!! / niliziona picha zake alipo kua dhiarani INCHINI Zambia!!!

alakisa mokili mobimba biloko an!!! / DUNIA NZIMA ILIZIONA PICHA ZAKE AKIWA UCHI MTUPU

Nayoka Pepe Kale atekaka molimo naye!!! / NIMESIKIA PEPE KALE KAUZA UHAI WAKE

Il parrait mengumengu azalaka nzambe nayee / YASEMEKANA ALIKUA MFWASI AKIMUABUDU MENGUMENGU

Nayoka Evoloko alalaka na bututee / NIMESIKIA EVOLOKO HUA HALALI USIKU

Il parrait Nganga oyo abomaka alukaye!!! / YASEMEKANA KAMUA MGANGA WAKE WA JADI,NA MZIMU WAKE HUA UNAMTAFUTA USIKU

Nayoka Frère moloto akufa naye na poison tee / NIMESIKIA FRÈRE MOLOTO HAJAFA NA SUMU

Il parrait maladie ya motema nde eboma ye / YASEMEKANA KAFA KWA PRESHA YA MOYO

Nalobi namona te mais nayoka nde / NASEMA SIJAONA BALI NAYASIKIA

Makambo naza koloba awa eza à vérifier / YOTE HAYO NIYANENAYO HAPA, NIBORA KWANZA  YA CHUNGUZWE

 

Lubonji Wa Lubonji

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: