HATIMAE WERRASON KAJIELEZA ( NDIO NILIKAA POLISI JIJINI PARIS KWA MDA WA MASAA MATATU )

 

MTANGAZAJI : WERRASON vipi hali yako

WERRASON : Hali yangu simbaya, kamawanionavyo nikiwa nazunguukwa na watu wengi, Mtoto wa Mungu hua hanaga matatizo, mengi yawezakujitokeza ila kamwe Mungu hua hawasahaU waja wake, Ujio wangu hapa JIJINI PARIS,nikwaajili ya kazi,Baadhi ya Vijana wangu walipendelea majina yao yatajwe kwenye Album, Unajua Adui wakwanza wa Mkongomani simwengine bali ni Mkongomani mwenyewe, Wamenipakazia vibaya kwa tuhuma zisizokua na Msingi wowote.

MTANGAZAJI : Nikitu gani hasa kilichotokea hadi ukajikuta Ukiwa matatani? Habari zilizo zagaa ni kwamba, uliingia Dukani kufanya Shopping,wakati wakulipa ukatoa PESA ZA FEKI, Ndipo wenye Duka wakawaita Polisi,na ukawekwa mahabusu!!!

WERRASON : Wala sivyo, na sihitaji kabisa kuongelea tena Mkasa huo, Mimi simhalifu, niingiapo dukani hua natumia KADI yangu ya Visa, Wapo Baadhi ya watu  wenye nia mbaya namimi,Niwao walio waita polisi wakidai kwamba Ninabiashara haramu chumbani nilipo fikia Hotelini, Polisi wakaja kusachi na kwa bahati nzuri hawajakuta chochote kilicho kinyume na Sheria. Hayo ya Pesa Feki wala siyakuiwekea umaanani wowote, Tuhuma kubwa ilikua hasa ile inazohusiana  na Biashara Haramu. Walipo tizama CV yangu, wakagundua kwamba Mimi ni Msanii Mkubwa tena maarufu, asiekua natatizo lolote Inchi Ufaransa,Nimeshadumbwiza kwenye Kumbi zote maarufu Jijini PARIS,( BERCY,ZENITH mara kadhaa ). sina laziada lakuongezea, ntawaachia Vijana wangu akina SANKARA DE KUNTA  waendelee na maongezi. Kwakifupi nimepachikiwa Tuhuma zauongo.

MTANGAZAJI : Umekaa huko Polisi MaSaa mangapi

WERRASON : Takriban masaa Tatu unusu, Kisha wakaja pia Hotelini wakakaa kama masaa mawili, Ndipo baadae wakaondoka zao.

MTANGAZAJI : Kutokana na hayo yote, WERRASON Ujumbe gani utakao utoa kwa Watu, Unapendwa? ila Lipo kundi la Watu wanao kuundia njama kwania mbaya yakukudhuru!!!

WERRASON : Dunia hii yajaa na surprise nyingi,Matatizo humpata kila Mwanadamu,

MTANGAZAJI  : Ujumbe gani kwa wapenzi wako popote pale walipo,ambao Jana ilikua siku ngumu sana kwao

WERRASON : Nawashukuru saana kwa Upendo mnaouonyesha kwangu, Salamu zangu zimfikie Dada yangu CLAUDINE KINYWA, najua ulivyo teseka saana kutokana na hayo yaliyo nikuta, Ndivyo Dunia ilivyo, WATU WA DUNIA HII HAWAMPENDI MUNGU, NAKAMA WEWE NIMTU WA SHETANI, BASI HILO NI CHAGUO LAKO, ILA WAKATI MATATIZO YATAKAPO KUFIKIA, KAMWE HUTOTHUBUTU KULIA UKINENA ” KWA JINA LA SHETANI “, BALI UTASEMA ” KWAJINA LA YESU “.

TWENDE TURUDI NTAWAOMBA MNYANYUE  MKONO WAKO NAKISHA  UTAMKE INGETA !!! AUTORITÉ !!!

 

Lubonji Wa Lubonji

 

 

3 Responses to HATIMAE WERRASON KAJIELEZA ( NDIO NILIKAA POLISI JIJINI PARIS KWA MDA WA MASAA MATATU )

  1. George Yona says:

    Aaaah….aaah….meseji ina maneno makali na yenye Mafundisho,Pole sana Noel Ngiama Makanda a.k.a Werrason

    • Cbd Anxiety says:

      Might you have any video of that? This article is a bit too advanced for me so is there anything you would recommend for those just starting out? I wants to be a mentor in this issue. Google pros would agree. Could you write more about this subject?

  2. Great information, great and useful style and design, as share superior things with great concepts and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: