WERRASON / ADT YANKI MPUY KASEMA ( WERRASON HAJASWEKWA MBARONI,BALI POLISI ILIMTAKA AJIELEZE )

ADT YANKI MPUY ambae ndie Mkurugenzi anae husika na maswala ya Kiufundi na Uzalishaji wa Group WENGE MUSICA MM,katika mahojiano yake na Watangazaji wa Congo Mikili, kakanusha kabisa habari zilizozagaa kuhusiana na WERRASON kuwekwa Mbaroni JIJINI Paris. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA KICHWA CHA HABARI.

Ngaimpe naza surpris naoyo ezalaka na Internet,Ba messages, Ba appels téléphoniques,ba Whatsapp,Viber… / MWENYEWE NIMESTUSHWA SANA NA YALEYANAYO ANDIKWA MTANDAONI, YAANI NIMEPOKEA SIMU KWA WINGI, MSG, WHATSAPP, VIBER…

Batu babengi nga na 4 coins du monde comme quoi bakangi le Roi de la Foret ( WERRASON ) aza aux arrêts, yomoko oyebi bandeko nabiso ba Congolais,bikomakoma,bilobaloba, Ekamwisaki biso tuu / NIMEPOKEA SIMU KUTOKA PEMBE ZOTE ZA DUNIA, WATU HUTAKA KUJUA NINI KINACHO ENDELEA,YASEMEKANA WERRASON YUKO CHINI YAULINZI WA POLISI, WENYEWE MNAWAJUA WALIVYO WAKONGOMANI, WANAPENDA KUONGEA HOVYO,KUANDIKA MAMBO YASIONAMUELEKEO!!! TUMESHANGAZWA KABISA NA JAMBO HILO.

A ce moment ou l’on se parle déjà, c’est une fausse information,bato bazoloba que aza na arrestation non c’est faux!!! Il était interpellé / KWANZA NTAWAHAKIKISHIA TAARIFA MLIZOZISIKIA HAZINA UKWELI WOWOTE, NAWALA HAJAWEKWA KIZIMBANI, BALI ILIHITAJIKA ASIKILIZWE NA POLISI .

Bino bofandaka na Paris,nakosa Banapoto tee,binomoko boyebi Hotel HYATT oyo ya Concorde Lafayette, oyebi place nini eza na 17 ème,eza na position nini,banani bayaka wana,eza na ba magasins, ba Studios, Les plus grands Studios de Paris eza na place wana / NYIE MNAOISHI JIJINI PARIS,WALA SIWEZI KUWAONGOPEA,MNAFAHAMU VIZURI WAPI ILIPO HOTEL HYATT, SEHEMU ILIPO NI NYETI SANA, NA WAGENI WANAO FIKIA HAPO NIWATU NA MAJINA YAO, HOTEL HIYO YAZINGIRWA NA MADUKA MAKUBWA,PIA YANAPATIKANA  STUDIO ZILIZO MAARUFU JIJINI PARIS !!!

Le ROI DE LA FORET oyebi que Dimanche azalaki kosala Studio, puis azalaki mpe lobi na 11H00. / LE ROI DE LA FORET, JANA JUMAPILI KAWA KWENYE STUDIO,HADI JANA KWENYE MIDA YA SAA TANO MCHANA BADO ALIKUWEPO STUDIO.

Embrouillement oyo ezalaki na Studio,oyo bato baya nakanisi c’est la première fois depuis que ba Concerts ezobetamatee na Poto,Bato baye kotala Artiste na Hotel Par rapport ya Studio,Affaire ya MABANGA / PURUKUSHANI ZILIZO TOKEA HAPO KWENYE STUDIO ILIKUA SI MCHEZO, NAFIKIRI NI KWAMARA YAKWANZA WATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUMSAPOTI  NA KUMSHANGILIA MSANII BAADA YA MDA MREFU TOKEA PALE SHOO ZILIVYO ZUILIWA KUFANYIKA ULAYA,WENGI WALIJITOKEZA  ILI WATAJWE ( LIBANGA ) KWENYE ALBUM INAYOTARAJIWA KUTOLEWA HIVI KARIBUNI.

Nombre ya Bato oyo bayee ebele,et puis cette désordre  biso ba Congolais sokitoyee bisika kolobaloba,koswana ezangakatee mwa dispute epesi que alerte na Hotel / UWINGI WA WATU WALIVYO KUSANYIKA,HOTELINI HAPO,UNAJUA PIA TABIA YA WAKONGOMANI,WANAPENDA KUONGEA KWA SAUTI, HUKU WENGINE WAKIJIBISHANA NAKUKARIPIANA, WAMILIKI WA HOTEL HAWAJARIDHISHWA NA HALI KAMA HIYO.

Il y a beaucoup des Personnes baza na ba couloirs, na ba Magasins,oyebi soki oza na Concorde ba Magasins yaba DOLCE GABBANA, ba Bureau yaba Air France ezali, bamakambo ebele eza nakati, nakoki ko expliquer binotee / PALIKUWEPO NA WATU WENGI, WAKISIMAMA HUKU NAHUKU HADI MADUKANI, SEHEMU HIYO, YAPO MADUKA MAKUBWA NA MAARUFU SANA, MFANO DUKA LA DOLCE GABBANA, Ofisi ya Shirika la Ndege AIR FRANCE nakadhalika,nivigumu kuwafafanulia kwakina!!!

Alors, Vu mouvement wana, Hotel ebengi mbila , Mbila eye pour savoir qui est la personne oyo à rassembler bato boye,Président à se présenter ,ngai naza Star,boye na boye,tala ndenge ezalaka / SASA KUTOKANA NA UWINGI WA UMATI WA WATU,NAVURUGU ZILIZO JITOKEZA, ILIBIDI HOTEL IWAITE POLISI, MDA MCHACHE BAADAE  POLISI WALIWASILI HOTELINI HAPO,WAKATAKA KUJUA CHANZO NININI KILICHO WAPELEKEA WATU HAO KUJAZANA SEHEMU HIYO, NDIPO KAJITOKEZA WERRASON,KAJITAMBULISHA KWA POLISI HAO KAMA YEYE NI STAR, KAMA WATU WAKO HAPO NI KWAAJILI YAKE,NDIVYO HALI HALISI ILIVYO KUWEPO.

Congolais tango amoni mbila aye na Studio,aye kosolola Hotel na Président à coté,mbala moko bato ya internet batindi ba message bakangi WERRASON,c’est une fausse information . / WAKONGOMANI WALIVYO WAONA POLISI WAKIJA STUDIO, KISHA WAKAELEKEA HOTELINI KUMTAFUTA RAIS WARRASON,WAKAONGEA NAYE,KWAPAPO HAPO,WAKAZITOA TAARIFA HIZO MTANDAONI KANAKWAMBA WERRASON KASWEKWA RUMANDE. NASISITIZA KWAMBA HABARI HIZO HAZINA MSINGI WOWOTE.

Na minute oyo tozoloba boye,NGAI,KAKOL,na HÉRITIER, tozosala check in,toza na transit na Paris,toza na vol ya Air France lobi na 13H00, NGAI, PRÉSIDENT  WERRASON,KAKOL,HÉRITIER tozokende mbalamoko CHICAGO,et puis après Vendredi tokei LOS ANGELES. / KWA DAKIKA HII TUNAVYO ONGEA NAWEWE,,MIMI,KAKOL,na HÉRITIER, TUPO TUNAJIORODHESHA KWENYE CHECK IN, JIJINI PARIS TUPO KWA MDA TUU,KESHO KWENYE MASAA YA SAA TANO ASBUHI, TUTACHUKUA NDEGE YA AIR FRANCE,PAMOJA NA RAIS WERRASON,TUKIELEKEA JIJINI CHICAGO,NA SIKU YA IJUMAA TUTAWASILI JIJINI LOS ANGELES.

Donc Mutu aza na arrestation akozala na voyage tee,voila, napesa ba fanatique nabiso bazala na calme,Bato mosusu eza kobanga, bazo banga INGETA,bazo utiliser batu mosusu bapesa ba fausse information. / KWAHIYO, ITAKUAJE MTU ALIE KIZIMBANI ARUHUSIWE KUSAFIRI? KWAWALE MASHABIKI WETU NAWAOMBENI MTULIE KABISA, WATU WENGINE WANATISHIWA,WANAPATWA NA WOGA YA INGETA!!! HUTUMIA WATU BAKI KWA MADHUMUNI YAKUZIPEPERUSHA  HABARI ZAUWONGO!!!

 

Lubonji Wa Lubonji

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: