WIMBO MZURI KWA WANANDOA, OLIVIER KALABASI ” L’ÉLU DE MON CŒUR ” / CHAGUO LA MOYO WANGU

 

WENGI MLINIOMBA INBOX TAFSIRI YA WIMBO HUU, UTUNZI WA OLOVIER KALABASI,AMBAE NI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA KILOKOLE !!! BONYEZA KICHWA CHA HABARI UTIZAME VIDEO NA TAFSIRI YAKE

Lelo Mokolo ya esengo mpo na nga / SIKU YA LEO NAJAZWA NA FURAHA TELE

Nzambe akokisi makanisi na biso / BABA MUNGU KAJAALIA MPANGO WETU WAKAMILIKA

Nakobina na sentiment, Lelo nde accomplissement ya bolingo nabiso Chérie / NTALISAKATA DANSI KWA MBWEMBWE,HATIMAE TWALIKAMILISHA PENDO LETU LEO HII MPENZI WANGU

Aujourd’hui je te dis Oui!!! Tu es à moi!!! Tu es dans mon Cœur / LEO HII NIMEKUKUBALI KWAKUSEMA NDIO !!! WEWE NI WANGU,UPO MOYONI MWANGU

Mbuli oyeba que nga nde nalinga yoo na motema moko / WAJUA KABISA MBULI KAMA HUA NAKUPENDA KWA MOYO MMOJA.

Bolingo nabiso e traverser banzela mpe ba etape / HADI HAPA TULIPOFIKIA LEO,PENZI LETU LILIKUIWA NA VIPINGAMIZI VINGI.

Souhait nabiso tosengaka na Nzambe akokisi yango / MAHITAJI YETU MBELE YA BABA MUNGU YAKAMILIKA

Tokomi moto moko na Bolingo yango eboti nde mbuma / TUNAUNGANA NAKUA MTU MMOJA, NA PENZI LETU LAZAA TUNDA

Patrick oyebi que nga nalinga yoo namotema moko / PATRICK WAFAHAMU TOSHA NINAVYO KUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE

Kozala mosika nayo ezali mpo na ngai Insécurité / KUKAA KWAKO MBALI NAMI,NAJIONA KAMA MTU ASIE SALAMIKA

Nakumisi Tata Nzambe na ndenge asangisi biso / ASIFIWE NA ATUKUZWE BABA MUNGU KWAKUJAALIA LEO HII TUMEUNGANA

Apesa mapamboli na bolingo yango Chérie / AZIDI KUTULETEA BARAKA ZAKE KWENYE PENZI LETU MPENZI WANGU

Libala ezali mode tee tolata to changer / NDOA SIKAMA MTINDO WA MAVAZI, LEO WAVAA HILI NAKESHO NYINGINE!!!

Libala ezali likambo ya vie bomoi ya moto / NDOA NI MAISHA YA MWANADAMU,MAANA KAMILI YAKUWEPO KWETU DUNIANI

Ekobanda na mpasi ekosuka nabisengo / TULIANZA KWASHIDA MWISHOWE TUPO WENYE FURAHA

Tokanga motema,matoyi na makelele ya libanda / WALA TUSIYASIKIE MANENO YA WATU,TUYAZIBE KABISA MASIKIO YETU

Na éviter se koloba na miso ya bato chérie / HUA NASHINDWA KABISA KUONGELEA SWALA HILI HADHARANI MPENZI WANGU

Ozali wanga wa motema na mema namotema / WEWE NI WANGU WAMOYONI,UPO MOYONI MWANGU

I love you, nakolinga yoo tii nasuka / I LOVE YOU , NTAENDELEA KUKUPENDA HADI MWISHO

Ozali Cadeau Nzambe abombela ngai / WEWE NI ZAWADI AMBAO BABA MUNGU KANIHIFADHIA

Surprise na vie, na découvrir yango / NAGUNDUA LEO KWAMBA SURPRISE YA MAISHA YANGU NDO WEWE

Ozali cadeau Nzambe apesa, L’élu de mon cœur / WEWE NIZAWADI KANIPA MUNGU,CHAGUO LA MOYO WANGU

Yango nabuki pete tee,lelo nabimisi namiso ya bato / RING NDO HILI WALA SIIFICHI, ITIZAMENI WOTE

Kozanga yoo eza lokola moto azanga assurance / KUKUKOSA WEWE NI MFANO WA MTU ASIEKUA NA INSURANCE

BOLONDO namema yoo na motema uta kala : BOLONDO TOKEA ZAMANI UPO HAPA MOYONI MWANGU

Aujourd’hui je te dis Oui!!! Tu es à moi!!! Tu es dans mon Cœur / LEO HII NIMEKUKUBALI KWAKUSEMA NDIO !!! WEWE NI WANGU,UPO MOYONI MWANGU  ( Mara 2 ).

Natangi na Biblia bakoma Il n’est pas bon que L’Homme soit seul : YAPO MAANDISHI NILIYO YASOMA KWENYE BIBLIA YANASEMA SIVIZURI KABISA KWA MWANAUME KUISHI MWENYEWE BILA MKE

Mpa nanini nga nazwi mitelengano ya kozanga Mbuli / IWEJE MIMI NIPATWE NA MISUKOSUKO ITAKAYO PELEKEA NIMKOSE MBULI !!!

Chérie oyeba que ngai nalingaka yoo namotema moko / MPENZI FAHAMU KWAMBA HUA NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE

Nalobi ozali Maman ya bana na nga / NASEMA WEWE NDIE MAMA WATOTO WANGU

Aujourd’hui je te dis Oui!!! Tu es à moi!!! Tu es dans mon Cœur / LEO HII NIMEKUKUBALI KWAKUSEMA NDIO !!! WEWE NI WANGU,UPO MOYONI MWANGU  ( Mara 2 ).

Nakosenga na Tata Nzambe abatela bolingo nabiso / NAPELEKA MAOMBI YANGU KWA BABA MUNGU ABARIKI NA PIA AJAALIE ILI NDOA YETU IDUMU IMARA

Lokola abatelaki ya Marie na Joseph / KAMAVILE ALIVYO WABARIKI BIKIRA MARIA NA YUSUFU

Nakosenga na Nzambe apesa biso mapamboli ebelee / NTAMUOMBA BABA MUNGU ATUZIDISHIE NEEMA

Tobokolo Bana tozua mpe bakoko / TUWALEE WATOTO WETU NA TUWAPATE WAJUKUU

Ah,ah, oyo cadeau Nzambe apesa nga ezali yoo / AH!AH! ZAWADI YANGU KUTOKA KWA MUNGU SI NYINGINE BALI NI WEWE

Je tiens à mon mariage,nakangi matoyi,yoo mpe kanga matoyi na makelele ya libanda /  NTAKAA KATIKA HALI YA UAMINIFU KWENYE NDOA YANGU,NAYAZIBA MASIKIO YANGU,NAWE PIA YAZIBE YAKWAKO KUTOKANA NA HULKA ZA WATU WA MITAANI!!!

Libala ezali obligatoire,Olinga olinga tee il faut obala / NDOA NIWAJIBU KWA WATU WOTE,PENDA USIPENDE YAKUBIDI UFUNGE NDOA

Tosepeli lelo mpo nalibala ya Mbuli na Bulongo  basangisibiso leloyo / FURAHA ILIOJE KWETU SISI LEO KUWAONA MBULI NA BULONGO WAKIFUNGA NDOA.

Bakokisi mibeko etinda Tata Nzambe namokili balingana / WAMEHITIMISHA AMRI ILIYOLETWA NA MUNGU KWA HAPA DUNIANI, WAMEPENDANA

Libala makwela,libala ezali décision ya bato mibale basangani leloyoo /  NDOA NI MAELEWANO,NDOA NI UAMUZI WA WATU WAWILI KUUNGANA.

Tosangani lelo mpo na ko honnorer bango / TUNAJUMUIKA SOTE KWA PAMOJA KWA KUWAUNGA MKONO…

 

Lubonji Wa Lubonji

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

One Response to WIMBO MZURI KWA WANANDOA, OLIVIER KALABASI ” L’ÉLU DE MON CŒUR ” / CHAGUO LA MOYO WANGU

  1. I think this is often an informative publish and it is actually educated and extremely helpful. I would wish to thank you for that efforts you have created in creating this post.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: