FERRE GOLA KAMSIMAMISHA KAZI REPPA KUNZARDO

kunza_ws102259362710292338_748727458522409_4637375114432142633_n

KIJANA  KUNZARDO AMBAE NDIE REPPA NAMBA MOJA WA FERRE GOLA,KASIMAMISHWA KAZI KWA MDA USIOJULIKANA KUTOKANA NA UTOVU WA NIDHAMU.

KWA MUJIBU WA MMOJA WA WANAMEMBA WAKAMATI KUU YA UONGOZI WA GROUP LA FERRE GOLA, REPPA KUNZARDO KATENDA KITENDO KILICHO KINYUME KABISA NA KANUNI YA GROUP HILO.

KAONYESHA DHARAU NA KULETA AIBU KUBWA PALE ALIPO MDUNDA MAKONDE NA KUMCHANIA NGUO MMOJA WA VIJANA WAANDAAJI WA JUKWAA,WAKATI WALIPOKUA WAKIDUMBWIZA KWENYE KERMESSE JIJINI KINSHASA WEEKEND ILIOPITA.

INGAWA BAADHI YA WATU WAMEINGILIA KATI WAKIWEMO MHESHIMIWA MKURUGENZI ANAE HUSIKA NA MASWALA YA BIASHARA YA KAMPUNI ( BRALIMA ) ,KAMPUNI MAMA INAYO TENGENEZA BIA PRIMUS,NAPIA IKIWA KAMA MDHAMINI MKUU WA FERRE GOLA, KUNZARDO YASEMEKANA,KACHACHAMAA NAKUENDELEA KUROPOKA KWAKUTOA MATUSI, KITENDO HICHO KILIWASHANGAZA WENGI, HALI YA SHWARI ILIPATIKANA PINDI TUU UAMUZI ULIPO CHUKULIWA KWA KUMTOA INJE KABISA YAJUKWAA !!!

KUTOKANA NA HAYO, KAMATI KUU YA GROUP IKIONGOZWA NA FERRE GOLA MWENYEWE,WAMECHUKUA UAMUZI WA KUMSIMAMISHA KAZI REPPA KUNZARDO!!!

TUNAENDELEA KUFWATILIA KWA MAKINI  HALI HII, NATUTAWATAARIFU KWA MDA UNAOHITAJIKA MAENDELEO YA MKASA HUO!!!

 

Lubonji Wa Lubonji

 

2 Responses to FERRE GOLA KAMSIMAMISHA KAZI REPPA KUNZARDO

  1. George Yona says:

    Safi…sana Papaa na Caprice heshima ndio kila kitu

  2. Reasonably specific he will possess a excellent read. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: