SAVANET DEPITCHO ( PAPA CONFORT ) RONALDO

 

CHRISTIAN MBEMBA MAARUFU KWA JINA LA SAVANET DEPITCHO, KAZALIWA JIJINI KINSHASA TAREHE 12-10-1970.

YEYE NI KIJANA AMBAE MALENGO YAKE YALIKUA HAYAENDANI KABISA NA MASWALA YA MUZIKI, KWAKUA KAWA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU JIJINI PARIS, AMBAKO KASOMEA MASWALA YA POLYTECHNIC.

KAJIUNGA RASMI NA MUZIKI KWENYE MIAKA YA 1991 AKIWA NA GROUP  ”  WENGE  EL  PARIS  ” KWA WAKATI ULE IKIONGOZWA NA  ROI PELE MARIE PAUL

MWAKA 1997 KAJIONDOA KWENYE GROUP  WENGE  EL  PARIS, NA KASUBIRIA  MWAKA 1998,NDIPO KACHUKUA UAMUZI WA KUJIUNGA NA GROUP ” QUARTIER LATIN ” YA KOFFI  OLOMIDE AMBAKO KAKAA HADI MWAKA 2000.

MWISHONI MWA MWAKA 2000, KAPATWA NA WAZO LA KUTAKA KUJITEGEMEA MWENYEWE, SAVANET DE PITCHO ” RONALDO ” ,KAJIONDOA KWENYE GROUP QUARTIER LATIN, NA KUUNDA GROUP LAKE ” BARAKA CONFORT,HOLLYWOOD ” .

KWA SASA YUKO KWENYE MATAYARISHO YA ALBUM ” ISRAEL  NYOSO PETE ” ITAKAYO TOLEWA MWEZI UJAO.

KWENYE ALBUM HIYO,KAPATA USHIRIKIANO WA KOFFI OLOMIDE, BENICO POPOLIPO,LAOLYTE LASSA,OLIVIER TSHIMANGA, NA WENGINEO …

MBALI NA MASWALA YA MUZIKI ,SAVANET DE PITCHO MASKANI YAKE NI JIJINI ZURICH  INCHINI SWITZERLAND .AMBAKO ANAISHI NA MKEWE BRIGITTE,WAKIWA NA WATOTO WAO SABA!!!.

 

LUBONJI WA LUBONJI

One Response to SAVANET DEPITCHO ( PAPA CONFORT ) RONALDO

  1. Hien Moutoux says:

    Its my great pleasure to visit your web site and to take pleasure in your excellent posts right here. I like it a whole lot. I can really feel that you paid substantially consideration for all those articles, as all of them make sense and therefore are extremely handy.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: