WERRASON KAMWAGA MAPESA KWA JB MPIANA

 

 

BAADA YA YA BINTI WAKE DAIDA MPIANA,KUFANYA VIZURI CHUONI ,NA KUFAANIKIWA KUPATA SHAHADA,

JB MPIANA KAMUANDALIA SHEREHE KABAMBE SAANA, NA MMOJA WAWAALIKWA AKIWA WERRASON NGIAMA MAKANDA,KAJA KUMPONGEZA BINTI HUYO KWAKUMWAGIA MAPESA WAKATI WAKISAKATA DANSI.

KWENYE SHEREHE HIYO,MTAMUONA  FALLY IPUPA AKIDUMBWIZA WIMBO  ” ORIGINAL “, WALIKUWEPO PIA ADOLPH DOMINGUEZ, NA KADHALIKA.

PONGEZI ZETU KWAKO DAIDA MPIANA.

 

LUBONJI WA LUBONJI

 

 

Advertisements

One Response to WERRASON KAMWAGA MAPESA KWA JB MPIANA

  1. Ndekwa'Kwise says:

    Nimefurahi pia kUmuona Rafiki wa karibu kabisa na Jibee PATRICKE BOLONYIA…… moja ya walioudhururia hafla iyo.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: