ALBUM YA HERITIER WATANABE KUTOLEWA HIVI KARIBUNI

10513242_654512214630887_1467562674631643592_n

HABARI ZILIZO TUFIKIA ZA ASHIRIA KUTOLEWA KWA ALBUM YA KIJANA HERITIER WATANABE,

WERRASON MWENYEWE NDIE ATAKAE TANGAZA RASMI KUTOLEWA KWA ALBUM HIYO,KUPITIA MKUTANO WA WAANDISHI WAHABARI UTAKAO ANDALIWA  PUNDE TUU BAADA YA ALBUM ” FLECHE INGETA ” KUTOLEWA RASMI.

KAMA BAADHI YA VIJANA WENZIE FALLY IPUPA NA FERRE GOLA, HÉRITIER WATANABE NAE PIA KAPATA MSAADA WA LABEL ” OBOUO MUSIC ” INAYO ONGOZWA NA RAIA KUTOKA INCHI YA COTE D’IVOIRE ” DAVID MONSOH “.NDIE KAMTOLEA FALLY IPUPA ALBUMS ” DROIT CHEMIN ” NA  ” ARSENAL DE BELLES MELODIES “, KAMTOLEA PIA FERRE GOLA ALBUM YAKE YA KWANZA ” SENS INTERDIT “.

IFAHAMIKE KWAMBA HÉRITIER YUKO KWENYE KIKOSI CHA WENGE MUSICA MAISON MERE TOKEA MWAKA 2001.

SWALI JE ! HERITIER WATAPLUS ATAFANYA KWELI KAMA AKINA FALLY IPUPA IKIWA ALBUM YAKE ITAPOKELEWA VIZURI SOKONI ?

 

LUBONJI WA LUBONJI

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: