KINSHASA WAJIULIZA MASWALI KUHUSU VIONGOZI WA WENGE MUSICA

1096986-139635610411355_673128669424300_4366357132382617624_n (1)

BAADA YA MSAIDIZI NA KIJANA WA KARIBU WA WERRASON ( HUGUES KITAMBALA ) KUFARIKI DUNIA KATIKA HALI YA UTATANISHI,

WENGE MUSICA BCBG YA JB MPIANA NAYO YAPATWA NA MAAFA, KWAKUA WAKILI NA RAFIKI WA SIKU NYINGI WA JB MPIANA ANAEJULIKANA KWA JINA LA ( MAITRE ALAIN MBALAKA ) NAE PIA KAFARIKI DUNIA JIJINI KINSHASA !!!

KAMA KAWAIDA YA JIJI HILO,WANAWAPAKAZIA JB MPIANA NA WERRASON KWA UCHAWI, KATIKA MAHOJIANO YAKE NA MTANGAZAJI (CARINE MOKONZI), MSEMAJI MKUU WA PAPA CHERI,ROGER NGANDU KASEMA, WALA KWA UPANDE WAO HAWAYAJUI MAMBO YA KISHIRIKINA, KIFO NI KAWAIDA,KINAMKUTA MTU KWA WAKATI WOWOTE NA POPOTE PALE!!!

UVUMI WAZAGAA JIJINI KINSHASA ,KUHUSIANA NA VIONGOZI HAO, YASEMEKANA HUTUMIA KAFARA KWAKUWATOA JAMAA ZAO WA KARIBU ,ILI PINDI ZITAKAPO TOLEWA ALBUMS ZAO ZINAZO SUBIRIA KWA SIKU NYINGI SASA  ” BALLE DE MATCH ” YA JB MPIANA NA ” FLECHE INGETA ” YA WERRASON ,ZITAWALE SOKO LA MUZIKI !!!

LUBONJI WA LUBONJI

 

 

 

Advertisements

2 Responses to KINSHASA WAJIULIZA MASWALI KUHUSU VIONGOZI WA WENGE MUSICA

  1. Anonymous says:

    HABARI TUONE

  2. Its my great pleasure to go to your website and to love your good posts here. I like it a whole lot. I can truly feel that you paid a great deal focus for all those articles or blog posts, as all of them make sense and are really beneficial.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: