JB MPIANA, WERRASON, PAPA WEMBA !!!

 

WASANII JB MPIANA MUKULUMPA, PAPA WEMBA MAITRE D’ECOLE, WERRASON LE ROI DE LA FORET,NA BAADHI YA WASANII WENGINE, WAMEKABIDHIWA TUZO LA  STAHILI YA TAIFA UTAMADUNI NA SANAA!!!

SHEREHE KUBWA KWA AJILI YAKUWAHENZI WA SANII, ILIANDALIWA JANA TAREHE 04-07-2014 JIJINI KINSHASA, NA MEA WA JIJI HILO MHESHIMIWA ANDRÉ KIMBUTA!!!

TUNAWAPONGEZA  KUTOKANA NA KAZI YAO NZURI !!!

 

LUBONJI WA LUBONJI

Advertisements

4 Responses to JB MPIANA, WERRASON, PAPA WEMBA !!!

  1. Pascal Canisio says:

    vipi Werrason aliweza kuja ilhali ana msiba wa Heagues Kitambala?

  2. lubonji says:

    Ndio, kama ulivyomuona kwenye Video, alijipa fursa yakuudhuria Sherehe hiyo, ingawa kaumia kutokana na Msiba wa HUGUES!!!

  3. WELSON says:

    PICHA YA WELSON

  4. Its my excellent pleasure to go to your website and to love your good posts here. I like it a good deal. I can really feel that you simply paid a great deal focus for all those articles, as all of them make sense and are extremely handy.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: