FEATURING KATI YA KOFFI OLOMIDE NA FERRE GOLA

 

UJUMBE WA KOFFI OLOMIDE KUHUSU KIJANA FERRE GOLA !!!

KUNA WATU AMBAO HAWACHOKI KUNIULIZA SWALI LA KUTAKA KUJUA, NI YUPI KATI YA WANAMUZIKI AMBAO WALIO WAHI KUCHANGIA KWENYE GROUP QUARTIER LATIN AMBAE HUA NASIKITIKA KUONDOKA KWAKE.

MBONA WAKO WENGI SANA!!! NTAWATAJA KWA MFANO ( LEBOU KABUYA,CHAMPION ESTHETIQUE,SUZUKI, NAKADHALIKA !!!

ILA KATI YA HAO WOTE,YUPO MMOJA AMBAE KWAKWELI HADI LEO HII NAENDELEA KUSIKITIKA ALIVYO JIONDOA, BASI NA SI MWENGINE, BALI NI ” FERRE GOLA “. KIJANA NILIE MPACHIKA JINA LA ( LIGUE DES CHAMPIONS, CHAMPIONS LEAGUE ).

KWENYE VIDEO HAPO JUU,MTAWAONA KOFFI OLOMIDE LE GRAND MOPAO NA KIJANA WAKE FERRE GOLA ( SHETANI ) WAKIWA KWENYE STUDIO,WAKISHIRIKIANA KATIKA MATAYARISHO YA WIMBO ” COBE TOX ”

UTAKAO PATIKANA KATIKA ALBUM ” 13 è APOTRE ” ITAKAYO TOLEWA RASMI MWISHONI MWA MWAKA HUU!!!

LUBONJI WA LUBONJI

 

Advertisements

2 Responses to FEATURING KATI YA KOFFI OLOMIDE NA FERRE GOLA

  1. glady says:

    Me Si mpenzi wa koffi, ila ferre atasababisha niusikilize na kuitafuta hiyo album, thanks lubonji wa lubonji kwa habari motomoto

  2. lubonji says:

    Asante sana Glady!!! Tupo pamoja

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: