CHIKITO MAKINU KAJIONDOA KWELI KWA FERRE GOLA NA KUJIUNGA WENGE MAISON MERE ?

 

Ingawa bado hajakubali Rasmi kana kwamba kajiondoa kwenye Group JET SET ( LES GAULOIS ),Inayo ongozwa na HERVE  BATARINGE aka FERRE GOLA ( SHETANI ),

Dalili zote za onyesha kwamba kijana CHIKITO,tayari kesha achana na FERRE GOLA,yule ambae mwenyewe hua anamwita BABA kwakua ndie kamkuza kimuziki tokea bado akiwa mdogo wa Umri wa miaka 16.

Kwa leo hii CHIKITO yuko INCHINI ANGOLA, akifanya SHOO nyingi peke yake kwenye MIJI ya LUANDO,SOYO na kadhalika…

Katika Mahojiano na Waandishi wa Habari,TRESOR KONGOLO ambae ndie Msemaji Mkuu wa FERRE GOLA kakataa katu kuongelea maswala yanayo husiana na CHIKITO.

Swali laja lakutaka kujua je? CHIKITO yuko njiani kujiunga na WENGE MUSICA MAISON MERE ?

Mtu ambae atakaetupa majibu kutokana na swali hilo ni Kijana OLIVIERA,ambae kwa wakati huu anayo nafasi nzuri ya kuwapokea Wanamuziki wapya wanao jiunga na Group WENGE MUSICA MM.

Katika mahojiano na Mtangazaji  MATHY KASONGO, OLIVIERA kasema ” ZIPO DALILI ZINAZO ONYESHA KAMA CHIKITO YUKO NJIANI KUJIUNGA NA WENGE MAISON MERE,NA KILA SIKU TUPO KWENYE MAWASILIANO NAE.NA PINDI ATAKAPO RUDI KINSHASA AKITOKEA INCHINI ANGOLA, CHIKITO ATAPANDA JUKWAANI ” ZAMBA PLAYA “.

Basi hapo juu sikilizeni Single Audio ya RNB ambayo ni ushirikiano kati ya CHIKITO na DAVID UCHE JUNIOR.

LUBONJI WA LUBONJI

 

One Response to CHIKITO MAKINU KAJIONDOA KWELI KWA FERRE GOLA NA KUJIUNGA WENGE MAISON MERE ?

  1. Pascal Canisio says:

    Werra aitoe album tunayoisubiri tangu 2012 na nimeona mazoezi yake itakuwa album nzuri ssana! Nasema hivi sababu mbali na CHIKITO , Werason amewachukua NICODEMO NGOY, ANARKE (R. Kelly) Kirikou na Bercy M una, wote toka kwa Ferre Golla pamojq na dancer JUDITH

    Inawezekana WMMM ni sehemu ya oujipatia umqarufu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: