WERRASON, KOFFI OLOMIDE, JB MPIANA, ROGA ROGA, ALAIN MPELA na EVOLOKO Wakimuomboleza KESTER EMENEYA

King Kester Emeneya ni mmoja wa wanamuziki mwenye heshima zake huko Kongo na atakumbukwa daima kwa umahiri wa utunzi wake akiwa na nyimbo zaidi ya 1000 mpaka anafariki dunia, Sikia hapo wanamuziki  WERRASON, KOFFI OLOMIDE, JB MPIANA, ROGA ROGA ALAIN MPELA Afande na  EVOLOKO, Pia wamo Tshalla Muana, Blaise Bulla na wengineo wengi wakiwa studio kupika kibao rasmi kwa maombolezi.

Advertisements

2 Responses to WERRASON, KOFFI OLOMIDE, JB MPIANA, ROGA ROGA, ALAIN MPELA na EVOLOKO Wakimuomboleza KESTER EMENEYA

  1. Hadj Le Jbnique says:

    Nice stuff but papaya Cherii na Rambow sijawaona wala kuzisikia Sauti Zao though,ila nimefarijika sana kumuona engineer Sele Bula na kuisikia Sauti yake yenye ladha ya kipekee imenikumbusha mbali sana hasa Hapo alipopokea kuimba alipomaliza De La Forret Werrason

  2. herry paradise says:

    rest in peace emenya

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: