Werrason chante JB Mpiana papa chérie

Mara nyingi wanapoulizwa wao wanasema kuwa hawana ugomvi hata kidogo, hata JB Mpiana majuzi alikiri hili alipokuwa njiani kusaini mkataba wa Zenith. na hii imethibitishwa na matuikio kadhaa kati ya mahasimu hawa ambao ugomvi kati yao unanogeshwa na mashabiki zaidi ni kama alivyo Asha Baraka na Ally Choki. Huwezi mnunia Boss wako wa Zamani hata iweje nyumbani ni nyumbani tuu.

Mara nyingi nimekutana na hili swali nani mkali kati ya JB Mpiana na Werasson kwangu mimi jibu ni simple and very simple na ni hilohilo kila siku. JB Mpiana ana ubora wake na Werasson pia ana ubora wake. JB Mpiana ni mzuri sana inapokuja suala la tungo na kuimba, rafiki yangu Mabamba Maregesi anasema ukitaka kusikiliza Kwaya akimaanisha mpangilio wa sauti basi msikilize JB Mpiana na kama unataka Sebene basi msikilize Werasson.

Na ndio maana utaona washabiki wengi wa Werasson wanazo DVD za LIVE nyingi kuliko studio Version kwani hapo Werasson anapatia sana na anajua kuchangamsha jukwaa vilivyo.

One Response to Werrason chante JB Mpiana papa chérie

  1. Appreciating the hard work you put into your blog and in depth information you provide. It’s nice to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed material. Excellent read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: