Zawadi ya Jb Mpiana kwa Zadio Kongolo na Carole

Huu ni wimbo maalum zawadi ya Jb Mpiana kwa swahiba yake Le Bcbque nambari moko Zadio Kongoloo na Mkewe Carole

Angalizo: kama wewe sio mpenzi wa Congo Rhumba, usijisumbue kuusikiliza wimbo huu, utakuzingua tu, but kwa wapenzi wa muziki wa taratibu made in Congo kama mimi, this is your thing.

Enjoy the lyrics, masauti mchanganyika ya mzee mzima mwenyewe Papaa Cherie Mobali ya Mamaa mokonzi Amida Shatur, Nono Fuji pamoja fundi Zulema pia utamsikia anavyoichezea sauti yake, Zulema kalia sana humu. Patamu zaidi ni pale solo guiter na bass zinapoachiwa zifanye mambo yao. safi sana, hii kamata mamaa nayoo cheza nayee taratibu…yoka elengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: