Fally Afanya kweli Abidjani

Katika muendelezo wa Fally Word Tour 2013, Mwanamuziki Fally Ipupa weekend hii alikuwa na onyesho huko Abdijan Cote Devoir. Ikumbukwe kuwa Abidjani ni moja ya ngome za wanamuziki wa Congo ambao wanapendwa sana huko.

Fally ndiye mwanamuziki wa Congo anayeongoza kwa kuwa na show nyingi kwa mwaka huu akiwa booked mwaka mzima kwa show za nje ya Congo. Maanamuziki huyu ambaye ni kipenzi cha wadada “Sukari ya Warembo” kwa sasa anatamba na albamu yake ya Power 101 yenye nyimbo kama Sweet Life ndani yake ambazo zinatamba vilivyo.

Ziara hii ya Fally ambayo itahitimishwa huko Dubai mwisho mwa mwaka huu imepewa jina la Power Tour 2013 ambapo atatembelea nchi sio chini ya saba, jambo linalomfanya kuwa mwanamuziki mwenye show nyingi za nje kuliko wote wa Congo kwa mwaka huu.

Fally Ipupa akiwasili kwenye ukumbi/Uwanja kufanya Sound Check kabla ya onyesho jioni yake.

MAshabiki wakishangilia huku wengine wakichukua kumbukumbu na simu zao za mkononi onyesho likiendelea.

Safu ya Wanamuziki wa Kiume wa Fally wakionyesha umahiri wao wa kucheza Power 101.

Baba Yuko kazini

Ukisikia Muziki si lelemama angalia hii ndio utajua.

Ni kawaida wanamuziki kubadili mavazi kila baada ya kuda fulani kwenye onyesho moja kunaongeza utamu, uhai na vionjo kwenye onyesho husika, Pichani Fally akiimbisha mashabiki moja ya nyimbo wazipendazo.

5 Responses to Fally Afanya kweli Abidjani

  1. kiukweli wanamziki wa kongo %100 wengi wao ni moto wa kuotea mbali kumbuka miaka ya 90 kipindi bongo flaver hawajaingi kwenge jukwaa la mziki mpaka radio tz walikuwa wanafagilia kinyaa band za wazee wa kikongo

  2. I want you to thank for your time of this wonderful read through!

  3. I want you to thank to your time of this great read!

  4. sound Recorder work

    Fally Afanya kweli Abidjani | Spoti na Starehe

  5. marketing metrics 3rd edition

    Fally Afanya kweli Abidjani | Spoti na Starehe

Leave a Reply to vector marketing corporation Cancel reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: