Waifahamu Familia ya Koffi Olomide?

Na Hadj Le Jbnique,Boston,Ma,USA.

Mamaa Aliana …huyu ndio mke halali wa ndoa wa Mopao Koffi Olomide

Koffi,Alia na Kitinda mimba wao Saint James

Huyu anaitwa Rocky,ndio mtoto wa kwanza official wa koffi kabla hajakutana na mkewe wa sasa Aliana,mkisikiliza nyimbo za koffi za miaka ya mwanzoni mwa tisini mtalisikia sana jina la huyo kipindi kile kina Suzuki walimtajataja sana na koffi alikua akijulikana kama Papa Rocky,sasa kama ulikua hujui Rocky mwenyewe ndio huyu kawa mkaka now.

Huyu ni binti pekee wa Koffi Olomide,wengi mtakua mmeshalisikia jina lake kwenye nyimbo nyingi za koffi,anaitwa Didi Stone,nyuma ni picha za wadogo zake,Del Pirlo na Saint James,hii ilikua ni tarehe 17 mwezi mwaka huu July 2013,ambayo ndio siku yake ya kuzaliwa.

Del Pirlo Mourinho “De Boss” mtoto wa pili wa kiume wa Mopao ambae mopao kwa mapenzi yake kwake humwita The boss na pia ameipa hotel yake ya kisasa jina la huyu mtoto,inaitwa VILLA DEL PIRLO

DelPirlo Mourinho Le Boss, Ambaye Hotel ya Koffi yenye hadhi ya nyota Tano imepewa jina lake.

Hapa kutoka kushoto ni kitinda mimba Saint James,dada mkubwa Didi Stone na Le Boss mwenyewe Del Pirlo.

Hapa ni mzee mzima mwenyewe Le Rambo du Zaire Mopao Mokonzi na wanae Didi Stone,Del Pirlo de Boss na Saint James.

Didi Stone a.k.a. Nike Olomide

Na hii ndio VILLA DEL PIRLO yenyewe,a four star hotel ya Koffi Olomide ambayo inapatikana : 47, Allée de Mont-Fleury, Quartier Mont-Fleury katika eneo tulivu na salama la Ngaliema jijini Kinshasa, kwa mtakaotembelea Kinshasa  basi malazi bora yanapatikana hapo kwa koffi, tumpe support kwenye kitu chake hiki kizuri,na pia hii ni changamoto kwa wasanii wetu wote kuanzia bongo movie,music na hata footballers wakumbuke kuwekeza tutawaunga mkono kwenye investment zao kwa kuwa tunawapenda.

Advertisements

11 Responses to Waifahamu Familia ya Koffi Olomide?

 1. Farid 4x4 says:

  Asante sana Mzee Pius

 2. mkemimi,kigoma,ujiji says:

  Wowwww mopao azali likolo,mwasi naye kitoko makasi,kazi nzuri sana hii ndio spotistarehe ninayoijua,pale katika mlikua kama mmepoteza muelekeo,tunataka mambo ya hivi,umizeni vichwa

 3. mpita njia says:

  Papaa fololoo mopao mokonzi ametisha sana

 4. Kembo wa Kemba says:

  Kiukweli Piusse munanipanga laha sana, Mukiswahili mwangu haiko muzuri sana kuyandika, kusyoma nasyoma muziri sana.
  karibu burundi

 5. mwanamburu says:

  hakunaga kama koffi,nice family,ana haki ya kuacha muziki,yuko juu sana

 6. erasto ndalu says:

  namkuli sana mopao, pia kaz zake nazipenda sana.

 7. Matende says:

  Koffi anapanga vizuri sana tena anafahamu sauti nzuri. Je, cindy ni mkewe?

 8. Anonymous says:

  mimi napenda sana nyimbo za koffe, naomba mnitumie.

 9. Anonymous says:

  tito chananja, niko dar, koffi anajua hana mpinzan, wasliana nami, 0788426796, dar, tz.

 10. I want you to thank for your time of this great study!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: