Koffi na Cindy Wake

Amakweli “Thin Line Between Love and Hate” hakuna ambaye aliwahi kudhani Koffi Olomide aliyewahi kuwa hasimu mkubwa wa JB Mpiana leo hii wangekuja kuwa maswahiba, wala hakuna aliyewahi kudhani Koffi na Werra wangeweza kupeana migongo lakini ndio upepo wa muziki wa Congo ulivyo. kama walivyo wasanii wa Bongo Movie hawaishi visa bali na hawa wa Congo hawaishii visa ili mradi wasikauke vinywani mwa mashabiki wao kama sikioni mwao kutokana na muziki mpya.

Natamani mapenzi haya kati ya WERRA na KOFFI yarudi tena lakini this time yawe ya ukweli sio kama hapa solidarity hii kati ya wawili hawa ilikua dhidi ya JB MPIANA, Tunapenda mapenzi na solidarity iwe kwa wanamuziki wote wa Congo ambao miongoni mwao kumekua na mpasuko mkubwa for years now,huyu hampendi yule,yule nae anaungana na mwingine ambae hampendi huyu…mradi tafrani tu,wapenzi tunataka burudani sio ma “beef” yasio na mpango..

Huyu ni Koffi Olomide akiwa na Cindy kipenzi chake, kwa sasa Koffi ametangaza kustaafu mziki akitoa albamu yake ya 20 ambayo anatazamiwa kuitoa December 2013. Je koffi atafanya shughuli gani baada ya hapo? Inawezekana kuwa akageukia biashara ambapo kwa siku za karibuni

Advertisements

2 Responses to Koffi na Cindy Wake

  1. Farid 4x4 says:

    Kaka Pius tunashukuru sana kwa post hii,
    Je ikiwezekana tunaweza kupata historia ya huyu Mwanamuziki Koffi?
    Yaani maisha yake ya awali na mwaka gani alianza muziki na mafanikio yake kipindi hiki chote akiwa kama mwanamuziki mashuhuri Africa.

  2. I am really enjoying the theme/design of your site. Do you ever run into any browser compatibility issues? A small number of my blog visitors have complained about my website not operating correctly in Explorer but looks great in Firefox. Do you have any tips to help fix this problem?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: