Zawadi ya JB Mpiana kwa Zadio Kongolo

Na The Romantic mwana BCBG

Huu ni wimbo maalum zawadi ya Jb Mpiana kwa swahiba yake Le Bcbque nambari moko Zadio Kongoloo na Mkewe Carole ambao walifunga ndoa ya kukata na shoka hivi karibuni.

Angalizo: kama wewe sio mpenzi wa Congo Rhumba,usijisumbue kuusikiliza wimbo huu,utakuzingua tu,but kwa wapenzi wa muziki wa taratibu made in congo kama mimi,this is your thing.Enjoy the lyrics,masauti mchanganyika ya mzee mzima mwenyewe Papaa Cherie Mobali ya Mamaa mokonzi Amida Shatur, Nono Fuji pamoja fundi Zulema pia utamsikia anavyoichezea sauti yake, Zulema kalia sana humu.

Patamu zaidi ni pale solo guiter na bass zinapoachiwa zifanye mambo yao.safi sana, hii kamata mamaa nayoo cheza nayee taratibu… yoka elengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nadhani mkuu wangu Nderumaki utakuwa umesuuzika hapo.

Advertisements

One Response to Zawadi ya JB Mpiana kwa Zadio Kongolo

  1. Anonymous says:

    kazi nzuri sana sana,mwanzo nilitaka kuuzarau huu mwimbo,lakini nilipousikiliza mara mbili tatu ni bonge la wimbo kuliko ule zadio mungine naweza sema,vyombo vimepigwa uzuri sana lazima utayumba

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: