Werrason na Mahombi ndani ya Ifound A Way; Werasson akiwa kivingine.

 

Wanamuziki wa Congo wengi kwa sasa wanajaribu kutoka na kuingiza ladha tofauti kwenye muziki wao hasa kwa kuwashirikisha wanamuziki wenye haiba tofauti. Wimbo huu unaitwa I found a Way wakwake Mahombi msanii anayeishi huko Sweden akimshirikisha Werasson Ngiama makanda wakaimba mahadhi ya Afri Pop ambayo kiukweli Werasson ameutendea haki.

Hii ni katika kujipenyeza kwenye masoko ya Ulaya na America ambako wanaongea lugha nyingine tofauti na Lingala, Swahili ama Kifaransa. Tayari Fally Ipupa ameshatoka na Olivia na ana nyimbo mbili zenye lugha ya Kiingereza Sweet Life na French Kiss ambazo zimebamba vilivyo sokoni. Mwanamuziki Ferre Golla naye alitangaza kumshirikisha Celine Dion na Rick Ross kwenye albamu yake ijayo. Msikilize Werrason unipe maoni yako, Uwanja wako Erick Tiger na Papaa Richard Malewa.

Ijumaa Kareem

7 Responses to Werrason na Mahombi ndani ya Ifound A Way; Werasson akiwa kivingine.

 1. MARKO NGUSI says:

  NAMKUBALI SANA WERASONI KWAKIUJUMLA WANAMZIKI WOTE WAKONGO

 2. PETER SHAYO says:

  nawakubal san wanamuziki wa congo jinsi wanavyoimba. wakibadilisha lugha kidogo wakitumia kiingereza ndio wangeuza zaid

 3. RICHARD MALEWA says:

  ahaaaaaaa……Papaa Pius wewe ni Mkaleeee!

 4. On a scale from 1 to 10, You are an 11. I never discovered any attention-grabbing blog like yours. Babies and small animals probably love you. Hey, that is a clever way of thinking about it. Extremely helpful posts.

 5. An Boldizsar says:

  Good information and facts, superb and important design and style, as share fantastic things with fantastic strategies and ideas.

 6. I believe that is an informative submit and it is actually knowledgeable and incredibly useful. I would want to thank you for that efforts you may have created in writing this post.

 7. Tana Gaiser says:

  I’ve bookmark your internet site and also include rss.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: