Ferre Gola Kichaa akimshirikisha Heritier Watanabe katika Nostalgie

Haina ubishi kwa sasa anaweza kutangazwa kama mfalme wa Rhumba kwa Congo, Ferre Gola ameweza kwa kiwango kikubwa sana kukonga nyoyo za mashabiki wa Rhumba ambao tangu kufariki kwa mtu akama MAdilu System walijiona wapweke, wapo wanamuziki wengi ambao kwa kiasi kikubwa wanajitahidi kupiga Rhumba lakini kwa kiasi kikubwa Ferre ameweza. Swaiba wangu Ally Juto aka Ally Tandika, Ally Magari anamkubali sana Ferre Gola nadhani hapa nimefikisha.

KWenye wimbo huu anashirikiana na kijana mwingine ambaye binafsi namkubali sana anaitwa Heritier Watanabe toka Wenge Musica Maison Merre ya Werasson, kijana huyu kwa wafatiliaji wa muziki wa Congo na mashabiki wa Congo watakubaliana na mimi kwamba huyu ni moja ya animation ya WMMM.

Sikiliza kolabo yao hapa na unipe maoni yako,

Advertisements

5 Responses to Ferre Gola Kichaa akimshirikisha Heritier Watanabe katika Nostalgie

 1. glady says:

  kweli feree ni kichaa kamfunika watta vibaya mno kwenye kizazi cha tano kwangu mimi mwanamuziki bora kuliko wote ni ferre na sitataka hata kubishana na juu ya hili.

 2. glady says:

  kweli feree ni kichaa , ingawa hta watta ni mzuri sana ila kwenye kizazi cha tano kwangu mimi mwanamuziki bora kuliko wote ni ferre na sitataka hata kubishana na juu ya hili.

 3. Hadj Le Jbnique says:

  Yap,kama alivosema glady hapo,naunga mkono hoja Capitaine de la Rhumba Congolais hana mpinzani kwa sasa,japo wata ya ngiama anakuja vizuri but wata yeye wenzake wa kumshindanisha nao ni kina Tshikito sio fally wala Ferra cuz hao ni kaka zake sana.

 4. Papa Kasapira says:

  Fere Gola”Shetani” the king of the new generation wanaojua mziki watakubaliana na mimi .

 5. washi rashidi says:

  Ferre anaimba kwa utaalamu mkubwa sana,alafu ni kijana anayefata nakuheshimu style za mziki wawakubwa yani mziki wa wazee wa congo.hiyo ni sbb1 kubwa sana kijana huyu kupendwa na kila generation.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: