The Dream Team

969841_10200506351209442_509519880_n

Kama ni kikosi hapa kilikuwa kimetimia kabisa Binafsi siwakumbuki wote najua wadai Le Beceebeegeeque nipe majina mdau…!!!

Advertisements

6 Responses to The Dream Team

 1. Papa Richard Malewa says:

  Aiseee hawa jamaa wameanza mbali jamani kwa haraka haraka mstari wa nyuma kulia anayeact kama anapiga mpira Ni Le Roy De La Forret Phenomena Werrason Ngiama Makanda, akifuatiwa na JB Mpiana Charistimatic Leader Le Souvre Mukulukulu, nyuma yao nafikiri ni kama Fi Carre Mwamba, akifuatiwa Allain Mpela” Afande”, halafu Titina Alcapone wengine waliosimama mtamalizia wenyewe.

  Huku chini kulia kabisa wakiochuchumaa ni mwenyewe Engineer Blaisse Bula

 2. Papa Richard Malewa says:

  Hebu cheki hii shughuli ya kukata na mundu jamaaa walikuwa balaaaaa !

 3. glady says:

  kaka hii pichu du umeniacha hoi cna cha kuchangia.

  • glady says:

   pls naomba kujua rapa aliyegani hapo juu anaitwa nani na alighani kwenye albamu zipi pls.

   • Hadji Le Jbnique says:

    Anaitwa Roberto Ekokota alighani kwenye album zote za wenge musica bcbg 4×4 tout terrain unazozijua,album za mwisho kufanya kazi na wenge ni Pentagon ambayo wimbo uliobeba jina la album hiyo aliutunga yeye,na pia akamalizia kufanya kazi na members wa wenge kwenye album ya binafsi ya mpiana ya Feux d’amour,yeye ndio alimkaribisha tutu kaludji wengi akafanya nae kazi akamtambulisha kwenye pentagon then akafanya nae kwenye Feaux d’amour halafu wenge ilipogawanyika kati ya kundi la werrason na la mpiana,Roberto akaondoka na mpiana lakini kabla kundi la mpiana halijatoa album ya titanic Roberto akaamua kujiondoa na kuachana na muziki,akamuachia mikoba yote tutu kaludji

 4. I’ve bookmark your website and also include rss.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: