Fally avunja rekodi!!

Mwanamuziki wa kizazi cha tano cha muziki wa Congo Fally Ipupa kwa sasa ndiye Mwanamuziki anayeongoza kwa kuwa na Show nyingi kuliko wote.

Habari zinasema toka aanze shughuli za muziki akiwa kama solo artist, Fally Ipupa kwa mwaka huu hajawahi kukaa Congo zaidi ya Wiki bila kupata mualiko ama ndani ya nchi ama nje ya nchi, Majuzi Fally Ipupa ametoka nchini Amerika ambako alikwenda kwa ajili ya kufanya shooting ya Baadhi ya nyimbo zilizomo kwenye albamu yake mya ya Power ambapo amemshirikisha mwanamuziki R.Kelly humo ndani.

Wiki hii tarehe 6 September mwanamuziki Fally Ipupa atakuwa na show ya kufa mtu itakayofanyika katika ukumbi wa bwawa la hoteli ya Grand Hotel huko Kinshasa onyesho lililopewa jina la Power.

Fally amecukua Tuzo za uandishi na tungo zake mara tatu za Droit chemin ,Arsenal de belles mélodies et Power, kosa, leka, hii imemfanya aweze kuwa na maonyesho mengi ndani na nje ya nchi, sababu ya pili ni kuwa Fally hafungamani na upande wowote kwenye siasa za Congo jambo linalompa nafasi ya kupata mialiko ndani na nje ya Congo hasa Ufaransa na Ubelgiji ambako kuna Wacongoman wengi na mashabiki wengi wa muziki huu wa DRC.

8 Responses to Fally avunja rekodi!!

 1. Papa Richard Malewa says:

  Hizi habari uwe unaziweka mapema ili tuwe tunajiandaa mapema. Tumechoka na “Vikopo” vya Dar es Salaam.

  Kin wala siyo mbali nafikiri KQ bado wanakwenda huko.

  Ila kwa fally mimi bado sijaona kitu mbili

  1. Associe

  2. Nyokalese

  Ni Balaaaaaaaaaaa !

 2. phiniasbiseko@yahoo.com says:

  Hiyo naikubali ila fally  kama vi

  • glady says:

   kwa upande wangu huwa simfagilii sana fally, kwa mtu anayejua mziki huwezi mfananisha fally na ferre labda tuseme fally ananyota na ubrazamen.

   • Prince George Jr. says:

    Naunga mkono hoja kwa 99%,Kwa huyu jamaa FERRE GOLA watasubiri sana pia Yeye mwenyewe anajitambua sana mpk kujiita SANS… LE… CAPTAIN… KIA MEN…LA RHUMBA CONGOLAIS…!!!! @Glady

 3. EOBAS EOBA says:

  Ndiyo kwasifa anazo, ila kuvijuliya bado.

 4. Anonymous says:

  Namkubali fally

 5. I’ve bookmark your site as well as add rss.

 6. Fairly particular he will possess a fantastic go through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: