Tafsiri ya Voyage ya Mboso yakwake Adolph Dominguez na Wenge Musica

Na Lubonji wa Lubonji

Ni wimbo ambao uliwahi kuleta ubishani nani hasa mtunzi wake, Kuna nyimbo ambazo kwa mashabiki wa Wenge Musica kwa ujumla wanazikumbuka sana wimbo huu wa Voyage Mboso, Wengi walijua huu Wimbo ni Wimbo wa JB Mpiana lakini ukweli ni kuwa huu ulikuwa ni Wimbo wa Adolph Dominguez na ndio maana walipoparanganyika Werasson alikuwa akiupiga sana wakati bado yuko na Dominguez na walipoanchana Werasson aliacha kuupiga na Dominguez aliendelea kuupiga.

Kwenye Original Version utamsikia vizuri Ekokota Machine Roberto Wunda,kwenye vyombo ni Patient Kusangira, Didie Masela Vando Mass, Mbonda na wengineo. Kwa kifupi katika wimbo Voyage (Safari ) Mwimbaji Adolphe Dominguez anaongela Safari na hatari zake kwa wapendanao!!!

Nini toweli ngai nayoo : kitugani kinacho leta ugonvi kati yetu?
Awa natikali Likombe yaya : Tizama ninavyo baki mpweke Kaka yangu!!!

Wapi O remplacer Ngai Voyage : Safari, Lini ukaja kuchukua nafasi yangu kwenye ndoa…

Mbala ya sima nako Refuser : mara nyingine sintokubali (usafiri)
Voyage!!! Ponini usalaka boye!!! : Safari!!! kwanini hufanya hivyo!!!

Okotika moto na Soucis!!! : wafanya mtu kabaki na majonzi
Désespoir na kati ya motema : Moyo wangu wakata tamaa!!!
Soki Likambo nani ako Consoler!!! ikitokea neno, nani yule atakae nifariji!!!
Soki Likambo nani akosalisa : nikipatwa na shida ni yupi atakae nisaidia!!!
Tuna Meje Kanuse ndenge azangaki Mc Mpanda kaka mpo na voyage : Muulizeni Meje Kanusi alivyo mkosa mpenzi wake Mc Mpanda kutokana na Safari.
Marie France Shungu azangaka Béa!!! kaka mpo na Voyage : Marie France Shungu nae kaachana na Béa kutokana na Safari!!!
Tuna Jeannot Canon ndenge azangaki Sabartino kaka mpo na voyage!! :
Muulizeni pia Jeannot Canon alivyo achana na Mpenzi wako Sabartino kisa ni Safari.
Pepo ekomataa!!! Ndege ndo hiyo ya Paa!!!
Masua ekochora ee!!! : Meli nayo yaondoa nanga!!!
Motema mauwaa!!! : moyo unauma na kusononeka!!!
Loboko ekopepa oyo akei!!! Mkono unampepea huyo anae safiri!!!
Voiture yo Complices : Gari nawe pia wanilia njama kwa kumpeleka Mpenzi wangu uwanja wa ndge!!!
Basusu bakokendeke Voyage ya makambo : Wamoja hua wanasafiri kutokana na mambo yao Flani!!!
Basusu bakokendeke Voyage ya Kelasi : wengine wana safiri kutokana na Shule!!!
Basusu bakokendeke Voyage ya Ba Affaires : Na wengine pia husafiri kwa mambo yao ya Biashara…

8 Responses to Tafsiri ya Voyage ya Mboso yakwake Adolph Dominguez na Wenge Musica

 1. Jean jacques kuru. says:

  Ninafurahi sana kwakutupa habari za wana music wa Congo,ninafurahi.

 2. Anonymous says:

  Hakujawahi kuwa na ubishi wowote kuhusu mtunzi wa huo wimbo, mpanzi yako kwa JB ndo yaliyokufanya uamini kuwa ndo aloutunga.

 3. phiniasbiseko@yahoo.com says:

  Vp post zimeisha mbona hutumi tenaSpoti na Starehe <comment-reply@wordpress.com> wrote:

  a:hover { color: red; } a { text-decoration: none; color: #0088cc; } a.primaryactionlink:link, a.primaryactionlink:visited { background-color: #2585B2; color: #fff; } a.primaryactionlink:hover, a.primaryactionlink:active { background-color: #11729E !important; color: #fff !important; }

  /* @media only screen and (max-device-width: 480px) { .post { min-width: 700px !important; } } */ WordPress.com

  piusmickys posted: “Na Lubonji wa Lubonji Ni wimbo ambao uliwahi kuleta ubishani nani hasa mtunzi wake, Kuna nyimbo ambazo kwa mashabiki wa Wenge Musica kwa ujumla wanazikumbuka sana wimbo huu wa Voyage Mboso, Wengi walijua huu Wimbo ni Wimbo wa JB Mpiana lakini ukweli ni k”

 4. At this time it appears like Expression Engine is the best blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

 5. Admiring the time and effort you put into your site and detailed information you offer. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed information. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

 6. Thanks for the marvelous posting! I truly enjoyed reading it, you will be a great author.I will be sure to bookmark your blog and will eventually come back at some point. I want to encourage you continue your great posts, have a nice holiday weekend!

 7. We absolutely love your blog and find the majority of your post’s to be exactly I’m looking for. can you offer guest writers to write content for you? I wouldn’t mind writing a post or elaborating on a number of the subjects you write in relation to here. Again, awesome blog!

 8. Admiring the hard work you put into your site and in depth information you provide. It’s good to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed information. Excellent read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: