Satelite Remix ya Werasson–Ijumaa Karim

La Brigedeer Suvereign Mukulu Mabamba Abiud Maregesi anasema kiukweli akitaka Sebene huwa anakwenda kumsikiliza Werason na kama ana kiu ya kusikiliza “Kwaya” huwa anakwenda kwa JB Mpiana maana huko utapata mpangilio wa sauti.

Shabiki wangu Swaiba wangu Tekno Malewa najua naye anayake ya kumfanya awe shabiki mkubwa wa Werasson, kwangu mimi hamna show ya Werasson ambayo sina kwenye kabati langu la Congo Moto kama ninavyoliita na sababu zangu ni kama za Mukulu wa bakulu Mabamba.

Ijumaa tulivu hii nakuacha na kitu Satelite Remix toka kwa Werason naomba unipe na we sababu zako….!!!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: