Un Prince au Congo; Mabanga ya Wera kwa Marehemu Alici Baba

Kiukweli bado kwangu albamu ya Kibuisa Mpipa inabaki kuwa ni moja ya Albamu Bora kabisa kuwahi kutokea kutoka kwenye kizazi cha nne cha muziki wa Congo. BAdo Werasson aikuwa na vionjo vya Wenge Musica na mpaka kipindi hiki nilikuwa bado sijaamua kuwa kambi gani kwani wote walikuwa wakinifurahi sana mpaka nilipoamua kuwa gawa kutokana na nini nataka kusikiliza kwa wakati husika.

Sijawahi kumchukia Werason hasilani ila nikitaka kusikia Sebene ni wazi huwa nakuja kwa Werason na nilitaka kusikia “Kwaya” mpangilio wa sauti kama anavyosema Swaiba wangu Mabamba Maregesi huwa namuweka JB.

Katika Albamu hii kwa kweli sikuwa nafrward wimbo wowote na huu ni moja ya nyimbo ambazo nilizpenda sana kwenye albamu ya Werasson na hapa alikuwa akimtukuza swaiba wake Alici Baba na kuipa jina la Un Prince au Congo akimaanisha Mtoto wa Mfalme wa Congo jina ambalo alijulikana na kuitwa na kila mmoja wakati wa uhai wake. Inasemekana Alici Baba alipenda sana kuishi maisha ya Kifalme, maisha ya kifahari ambayo pia hayakumfanya ajiweke mbali na watu.

Pata burudani huku ukimuomboleza

Advertisements

One Response to Un Prince au Congo; Mabanga ya Wera kwa Marehemu Alici Baba

  1. Silas Kisusi says:

    Kweli huu wimbo wa un prince au congo na la vent du soir ni nyimbo ninazozipenda zaidi ktk album ya kibuisa mpimpa.Naomba nijue ni lini huyu Alici baba alifariki? na ktk huu wimbo naona Baby ndombe akiutendea haki u prince yaani ni raha tupu kuuangalia.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: