Ferre Gola na Lekeleke

Swaiba wangu Mabamba Mabiudi Maregesi ni shabiki wa nyimbo hizi jana alinipigia kunisikilizisha muziki ambao alikuwa haujui baada ya kuusikiliza nikamwambia huyo ni Ferre Gola aka Shetani Gola. huyu ni bingwa wa Rhumba kwenye kizazi hiki cha nne na cha Tano cha Muziki.

Msikilize hapa kwenye kibao hiki Lekeleke anavyolalamika

Advertisements

4 Responses to Ferre Gola na Lekeleke

 1. Prince de La Ville. says:

  Labda kwa faida ya wadau huyu anaitwa Herve Bataringe Gola,Anafahamika kama Ferre Gola au Captain La Rhumba Congolese,Ndio maana wanaomjua uwezo wake kimuziki hawatapingana na mimi kuwa FALLY IPUPA hamfikii, Isipokuwa Fally ana NYOTA ya kupendwa.

 2. Hadj Le Jbnique says:

  fally ipupa kumlinganisha na Capitaine de La RHUMBA CONGOLAIS ni matusi,kwanza fally is a new one in music,Ferre ni mkongwe

  sikilizeni nyimbo hii mtanielewa ninachosema,much respect Capitaine La Rhumba Congolais FERRE GOLA..kinachombeba dogo fally ipupa,ana meneja mzuri sana..

 3. Anonymous says:

  good kaka kumbe wewe tuko pamoko gola chante better

  is me saymour chante infb

 4. james masele says:

  yaa sure ferre ni zaidi ya fally kwanza ferre anaimba kwa zaidi ya sauti tatu wakati fallyanaimba sauti moja tu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: