HAO NDO WATOTO WA WERRASON

kutoka kushoto kwenda kulia : EXAUCÉE, DAMS, NA GLADIE

Exxaucee ndiye binti mkubwa na kati ya wote Gladie ndiye amefuata nyayo za babaake katika muziki.

Ni kawaida kumsikia Werasson akiwataja hawa wanawe kwenye nyimbo zake hasa Exaucee kama alivyo JB Mpiana na Daida wake.

Pichani Werasson akiwa na binti yake Gladie

Advertisements

7 Responses to HAO NDO WATOTO WA WERRASON

 1. Prince de La Ville. says:

  Ahsante sana kaka kwa taarifa khs watoto wa PAPAA PASTOR a.k.a The Big BOSS,kama hautajali ninaomba wasifu wa huyo kidume katikati 7bu hujamtolea maelezo@Pius Micky

 2. Hadj Le Jbnique says:

  Papaa Daida JB MPIANA nae official anao mabinti wawili na kidume mmoja wa mwisho anaitwa Junior ambae dada zake ni Daida na Suraya,nimesema official makusudi maana hawa musicians wetu wa africa kama tulivyo sisi mashabiki wao wanaeleweka kwa kuzaa ovyo nje

 3. john mtemi says:

  igweeeee ngiama makanda katisha na wanae

 4. Emmannuel msaku says:

  Werrason yuko juu saaana

 5. Pasiasi manembe says:

  Nimeshukru sana kuwafahamu watoto wa werrason,endelea kunipa habari zingine.

 6. PHINIAS BISEKO says:

  Safi sana kuwaju
  a watoto wa Werra.

 7. muya says:

  elengi ya vie

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: