Ebboa Lotin; Sauti ya radi isiyopewa nafasi WMMM

image

Ukisikiliza Rhumba nyingi za WMMM utasikia sauti nzito hii inayolalamika sana kwawasikilizaji wa muziki wafatiliaji wa sauti watakubaliana na mimi kuwa huyu kijana Ebboa Lotin anaimba sana kwangu namfananisha na jamaa aliwahi kuwa kwa Koffi anaitwa Willy Bulla ambaye ukisikiliza wimbo kama Detresse utamsikia uzuri.

Kwa Werasson Ebboa Lotin hafahamiki sana kama walivyo kina Heritier Watanabe, Japonaise na wengineo ni kwa wale wafatiliaji wa karibu tu ndio wanamjua, uwezo wa Ebboa kwenye kuimba hasa haya ma Rhumba ni mkubwa na nadhani angekuwa ana compose na kuimba wimbo wote mwanzo mwisho angependeza sana, Kwenye wimbo hapo juu naweza sema mtu kama Werasson angemuachia jamaa aimbe mpaka mwisho.

Naomba usikilize na wewe kaka Techno Malewa, Presidaa Hamis Dacota, Monica Habash, na wapenzi wengine wa WMMM mnipe mawazo yenu, Kaka Hadj Le Jeebee nique upoooo??, Binafsi namkubali sana Eboa Lotin mnoooo, Balaobi Eboa Lotin!!!! Seboooo??

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: