Capitaine De Benelux Wimbo usiochuja toka utunzi wake Allain Prince Makaba enzi za Wenge Musica BCBG

Ni moja ya vibao ambavyo havikuwahi kufanyiwa Shooting ya Video na mi binafsi nakipenda sana. Ni utunzi wake Allain Prince Makaba kwenye Albamu hii ya Pleins Feux kwa kiswahili rahisi naweza sema Moto Mkubwa alitunga pia kibao kingine kikali cha Doubglas Ilumbe nacho ni kikali sana.

Albamu hii ni moja ya albamu ambazo zimebaki vichwani mwa washabiki wote wa Wenge Musica BCBG bila kuangalia ushabiki kwani mashabiki waliikubali na jamaa walikamua vilivyo, Salamu na heshima kwako Meree wa nguvu Gladys na fasi za Moshi, pamoja sana mamito.

Advertisements

4 Responses to Capitaine De Benelux Wimbo usiochuja toka utunzi wake Allain Prince Makaba enzi za Wenge Musica BCBG

 1. Glady says:

  Du umetisha kaka, ndio naikumbuka hii album kama sikosei pia kitu ave maria kilikuwa ndani ya hii album, thanks a lot kwa kunijuza, moshi tuko pamoja.

 2. Anonymous says:

  Du ! Ilikuwa ni albam ya kutisha ndani kulikuwa na kitu kinaitwa Papy Masampu utunzi wake Blaise Bula Engeneir.du umenikumbusha mbalisana. Nipo mwanza tupo pamoja

 3. edmas says:

  HAPA MKUU UMETELEZA, SIO KWELI KWAMBA HUU MWIMBO ULIKUWEPO KWENYE ALBAM HIYO. HUU ULIKUWA KWENYE ALBAM YA “LES ANGES ADORABLES VOL 2” YA MWAKA 1994.

  Pleins feux ilibeba nyimbo zifuatazo:
  01. La vie
  02. Dady Bitodi
  03. Ave Maria
  04. Tchatcho Mbala
  05. Djino
  06. Nazareth
  07. Ambiance

  Les Anges Adorables volume 2 ilibeba:
  1.Masampu
  2.Kama
  3.Capitaine de Benelux
  4.Willy Muntu
  5.Promesse bouboule
  6.Sourires des vendeurs

  Nawakilisha.

 4. piusmickys says:

  Asante Mkuu kwa masahihisho. Tuko pamoja.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: