Meje 30 aikarabati upya 3eme Doigt ya Ferre Gola

Meje 30 3e Doight

Kiukweli namkubali sana Ferre Gola hasa kwenye hizi nyimbo za taratibu Congo Rhumba, leo nimeona tuutizame wimbo 3Eme Doigt ambao original version yake ilifanywa nae mwenyewe Ferre lakini hapa unaimbwa kwa mara ya pili na mwanadada ambae ndio alama ya kizazi kipya kwa upande wa kina mama katika muziki wa Congo Meje 30(Meje Tranty)..nimependa Meje alivyoimba ndio mana nimeamua niziweke zote mbili ili wewe msomaji na mtazamaji upime na kuona kama Meje ameutendea haki wimbo husika au ameharibu kiaina…

Hii ndio original version iliyofanywa na Ferre mwenyewe..nakutakia wiki njema.

2 Responses to Meje 30 aikarabati upya 3eme Doigt ya Ferre Gola

  1. Prince de La Ville. says:

    Amejitahidi sana kwa kiasi fulani 7bu Ferre Gola amekuwa mzoefu kwa sasa,hivyo Meje 30 damu changa ndio maana hajawa collected,wadau wenzangu hapa tunazungumzia tofauti ya nyimbo hizi 2, huo mtazamo wangu tu.

  2. Its my terrific pleasure to visit your blog site and also to enjoy your fantastic posts right here. I like it a good deal. I can really feel that you simply paid considerably attention for those articles or blog posts, as all of them make sense and are pretty useful.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: