Power 001 Ya Fally Ipupa yaingia sokoni rasmi.

 

 

Bofya hapa kusikiliza Power 001 Iliyobeba jina la Albamu.

Huku Wenzake Ferre Gola, Werrason na wengineo wakisuasua kufikisha albamu zao sokoni, Mwanamuziki Fally Ipupa De Dicap ameachia albamu yake mpya ya Power 001 wiki hii iliyoisha.

Ni baada ya kufanya vizuri kwa albamu yake nyingine ya Arsenal de belles mélodies takribani miaka minne sasa, inatazamiwa na albamu hii itafunika sokoni, Kwa mujibu wa mtandao wa Digital Congo albamu hiyo imeonyesha kufurahiwa na kufanya vizuri sokoni.

Kurekodi na Pauline Maserati

Vidéo : Pauline Maserati : elle est la première de la Star Ac' 9 à dégainer un single !

Fally akiwa na Maserati

Aidha habari nyingine ambazo zimeifikia Spoti na Starehe kutoka kwa mtu wa karibu wa Fally hapa Tanzania Mamaa Yasmin Demukalinga aka Mamaa Mundele  amesema kuwa Fally ameingia studio kurekodi na mwanamuziki nyota wa Ufaransa Pauline Maserati ambapo watarekodi Single inaitwa C’est juste Toi et Moi kimaanisha Ni Mimi na Wewe Tu (Just me and You). Video ya wimbo huu ndio iko jikoni na upigwaji picha umefanyika tayari.

Maserati ni mshiriki wa kwanza kwenye onyesho la reality show ya Star Academy na aanafanya vizuri sana, na baada ya kushinda alifanikiwa kurekodi na Lebo ya AZ, ambayo ni kampuni tanzu ya Universal Music ya France.

Advertisements

One Response to Power 001 Ya Fally Ipupa yaingia sokoni rasmi.

  1. Joshua Bonnie says:

    kitoko..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: