SATELITE YA KWAKE WERRASON DE LA FORET

Tulishaitambulisha hii Video hapa barazani siku si nyingi ila kwa heshima yako mdau wangu naitandika tena, Anaitwa WERRASON na vijana wake, hapa wamefanya vizuri sana kwenye hii Generique (muziki wa vyombo na atalaku bila ujumbe), kitu kinakwenda kwa jina SATELLITE, Yap lazima tuseme ukweli kazi imefanyika hapa,hata video ni ya kiwango,hongera kwao bana zamba playa! hongera binafsi kwa sebondo ya machine, kiukweli amezikaanga chips ile mbaya humu, drums unazisikia hata kama hupendi kusikia..

6 Responses to SATELITE YA KWAKE WERRASON DE LA FORET

  1. Prince dela Ville says:

    Mimi ni Fans wa Quartier Latin ya MOPAO MOKONZI Papaa na Sean James,Del Pirlo Mourinho na Didier Stone,nilivutiwa na safu ya Waimbaji na Mpangilio wa Sauti kwani ilikuwa kama Chuo cha Muziki sina budi kuiita Team ya GalacticoS Stars,lakini kwa sasa siipati ile Radha 7bu Mopao Mokonzi kavunja team ile na Under ground ndio wapo darasani hapo QUARTIER LATIN,ktk kupita pita kwangu nikaikuta hii team inayoitwa WENGE MUSICA MAISON MERE,YA NOEL NGIAMA MAKANDA “WERRASON”kusema kweli ebwana eenhe HATARI kuna Safu ya Waimbaji Vijana watupu nimewakubali jinsi wanavyopokezana sauti niliduwaa kimya,nikajaribu kutafuta majina nikapata baadhi yao angalia majina haya mdau wa huu muziki usiochuja kama ifuatavyo; HERITIER WATANABE(2)EBOA LOTIN(3)MIEL DE SON(4)CAPPUCCINO LE BOURGER(5)TADDET(6)FABRICE AU FABREGAS(7)DEPLICK, KWENYE DRUM’S NI “PAPY KAKOL AU SEBONDO YA MACHINE”(2)SOLO GUITAR “KIMBANGU” NA ATALAKU AU RAPPER’S (1), BRIGADIER LWINGA(2),LOBESO NA DIEGO,CHINI YA LE PATRON YA WENGE MMM “IGWEEEE” WADAU WENZANGU RAHA YA MUZIKI NI KUUFUATILIA NA KUUJUA HATA KAMA LUGHA INAZINGUA,MERCIII

  2. Nice facts, fantastic and useful design, as share superior things with good suggestions and ideas.

  3. Lakia Leeks says:

    Relatively certain he will have a superior study. Thank you for sharing!

  4. a lot of great facts and inspiration, each of which I want, because of present this kind of a handy info right here.

  5. I am really loving the theme/design of your site. Do you ever run into any internet browser compatibility problems? A number of my blog readers have complained about my website not working correctly in Explorer but looks great in Chrome. Do you have any suggestions to help fix this problem?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: