JB Mpiana inaendelea…

182368

JEAN BEDEL MPIANA WA TSHIKUTA (JB MPIANA) akiwa Swaiba wake WERASSON NGIAMA MAKANDA wakati wa msiba wa mcheza show wa BCBG mwaka jana.

Mwaka 2001, JB MPIANA katoa ALBUM ya INTERNET ikiwa na Volume 2 :

Volume 1

No Titre Auteur(s)

1. Internet JB Mpiana

2. Kap Kapita Alain Mpela

3. Beazodeguem JB Mpiana

4. Espoir de Chicago Ficarre Mwamba

5. Jeannette JB Mpiana

6. Love airlines Jules Kibens

7. Tshico Londonien Tutu Callugi

8. Pacte Divin Seguin Mignion

9. Le duo de Paries Chay Ngenge

10. Sans te toucher JB Mpiana

Volume 2

No Titre Auteur(s)

1. Le tenant du titre Titina Mbwinga

2. Sens Unique Theo Bidens

3. Feux D’artifice JB Mpiana

4. Persecution JB Mpiana

5. Fleur d’amour Rio

6. Consolation JB Mpiana

Sifa nyingi zilimjia na kapata mualiko uliomwezesha kufanya SHOO kwenye Ukumbi wa SPECTRUM (Montréal CANADA) , Tarehe 22/09/2001 akadumwiza kwenye ukumba wa BERCY Mjini PARIS.

Kurundi kwake KINSHASA akafanya SHOO kabambe mnoo iliyo chaguliwa SHOO bora mwaka huo kwenye uwanja wa STADE DES MARTYRS. Yasemekana zaidi ya watu 250.000 walikuwepo.

Mwaka 2002, Kapewa Tuzo nyingi kutokana na kazi aliofanya Mwaka 2001,zikiwemo Tuzo la Mwanamuziki Bora,Mwimbaji Bora,Mtunzi Bora wa wimbo “SANS TOUCHER” na pia tuzo la Wimbo Bora (JEANNETTE).

Kutokana na CAREER (Quarry) nzuri aliekua akijijengea JB MPIANA,hali ya wivu na chuki ikaanza kujitokeza kwa wale ambao ni wapinzani wake.

wakaanza kumtupia Kashfa mbaya kutokana na kabila lake; (JB MPIANA katoka kwenye kabila la WALUBA au LUBA,inasemekana huko CONGO kabila hilo hua linachukiliwa na makabila mengine).

Wakaanza kumchimbia chini kwa chini ili wamuangushe kimziki wengine wakishirikiana na baadhi ya watu maarufu walioko serekalini na kumuwekea mikwala mbalimbali kwenye shughuli zake.

Imetokea siku nyingine, Serekali ikaamua kumkatalia asifanye SHOO bila sababu yeyote. Wakati mwengine akiwa tayari kwenye SHOO umeme unakatika, baada ya masaa kadha hurudishwa.

katukanywa mara kwa mara, kazuliwa mambo ya uongo iliyo sababisha Ndoa yake kuvunjika kwa mara ya kwanza.

Mwaka 2003, Palitokea na KESI ya VISA Mjini PARIS,iliyomkumba MwanaMUZIKI Mkongwe PAPA WEMBA, Kwa tuhuma za kuwaongeza kwenye List ya wanamuziki wake watu ambao sio wanamuziki na kuwaleta Ulaya, na hapo baadae wakazamia.

Yasemekana PAPA WEMBA kawaleta zaidi ya watu 50 kwa pamoja, na kila mmoja alikua akimpa pesa zinazo fikia kiwango cha Euros 5000. Mkasa huo ukafanya Inchi za Ulaya kuwanyima Visa wanamuziki woote wa CONGO,akiwemo JB MPIANA na kusababisha kazi aliyekua akiaandaa Album yake ya ANTI-TERRO kuchelewa.

Mwaka 2004, JB MPIANA kafanikiwa kutoa ALBUM ya ANTI-TERRO huko Saouth Africa. ikiwa na CD 2 :

CD1

Anti Terro

Nungu Nungu

Lekasopo

Plainte A

J’ Suis La

Decision

Vicky Nsongi

Amour Sans Tache

Clin d’œil

Guy Mbuala

CD2

Doleance

BK Le Senateur

Le Baron

Ezau

Temperature

Kolo Martyrs

Somewhere

Album hii ilimwezesha JB MPIANA apewe kwa mara ya tano tuzo la Mwimbaji Bora na kufikia Rekodi aliyekua nayo kipenzi chake Mkongwe PAPA WEMBA.na kumzidi alipopewa tuzo hilo kwa mara ya Sita mwaka 2008 na kushikilia Rekodi hiyo hadi leo.

JB MPIANA Keshapewa tuzo ya GOLD PALM zaidi ya mara 25 :

-Mwimbaji Bora, kapewa GOLDEN PALM 6,( 1991,1997,2000,2001,2004,2008 ).

-Wimbo Bora, kapewa GOLDEN PALM 5 ( Mulolo 1988 )

( Feux de L’amour 1997 )

( Omba 1998 )

( 48 Heures Gecoco 2000 )

( Jeannette 2001 )

-Palm ( Flipper ) of Money Silver kwa wimbo ( Zadio 2008 )

-Palm ( Flipper ) Tans ( Sunbathes ) Wimbo ( Ezau 2004 )

ALBUM BORA, kapewa GOLDEN PALM 2 :

– Feux de L’amour 1997

– TH 2000

-Palm ( Flipper) of Money Silver Album Anti-Terro 2004

-Palm ( Flipper ) Tans ( Sumbathes ) Album Internet INTERENT

BETTER AUTHOR COMPOSER kapewa GOLDEN PALM 3 :

– FEUX DE L’AMOUR ( 1997 )

– TH ( 2000 )

– INTERNET ( 2001 )

BETTER COMPOSITION, kapewa GOLDEN PALM 3 :

– FEUX DE L’AMOUR ( 1997 )

– GRACE À TOI GERMAIN ( 2000 )

– SANS TOUCHER ( 2001 )

MWANAMUZIKI BORA kapewa GOLDEN PALM 4: 1997,2000,2001,2010

GROUP BORA YA MUZIKI KAPEWA GOLDEN PALM 3 : 2004,2008,2010

PALM ( FLIPPER ) OF MONEY SILVER 2 : 2000,2001

PALM ( FLIPPER ) TANS ( SUNBATHES ) 1 : 2002

Kapewa pia tuzo ya SHOO bora aliyo ifanya mwaka 2001 kwenye Uwanja wa STADE DES MARTYRS, na SHOO yake ya mwaka 2003 kwenye Viwanja vya FIKIN Mjini KINSHASA Mwaka 2003.

Mwaka 2005, JB MPIANA katoa wimbo wa BONGOLOWAYI, ambao ni matangazo ya biashara ya kampuni inayo tengeneza Bia ya PRIMUS,Akapata sifa nyingi hadi kuchanganya Album zilizo tolewa na wanamuziki wengine.

2006 – 2007, JB MPIANA akachezesha ulimwengu mzima na miondoko ya LOPELE Kwenye Album yake ya KIPE YAYO (JIHUSISHE NA NANAYO KUHUSU) Ikiwa na nyimbo 9 :

1. Kipe yayo – JB Mpiana

2. Identité d’amour – Chai Ngenge Ibuba

3. Mal au cœur – Rio Kazadi

4. Alino Kizaza – JB Mpiana

5. Sans permission – Seguin Maniata

6. Voiture – Jules Kibens

7. Guantanamo – Tutu Kaludji

8. Francis Solution – JB Mpiana

9. Elégie – Boguys Bopema

Utawasikia wakitupa maneno haya :

LE POISSON A COMBIEN DES PARTIES ? (SAMAKI ANAGAWANYWA MARA NGAPI?) AU ANA VIPANDE VINGAPI?

WANAITIKA : 3 PARTIES (VIPANDE VITATU)

ALLEZ !!! CITEZ – LES !!! ( HAYA!!! VITAJE!!!) :

MUTU ( KICHWA ), LIBUMU ( TUMBO ) NA LOPELE ( NA MKIA)…

PELE PELE YA LOPELE PELE!!! PELE YA LOPELE!!!!! HMMM!!!

Mwaka 2008,Mwishoni, JB MPIANA katoa Album ya QUEL EST TON PROBLÈME (SHIDA YAKO NINI) ikiwa na nyimbo 5 :

1. Quel est ton problème? – (JB Mpiana)

2. Zadio Kongoklo (ZK)- (JB Mpiana)

3. Claude Itoma (Seguim Mignion Maniata)

4. Libérez – (Sunda Bass)

5. Excès d’amour – (Gentamycine Lisimo)

Album hii alimwezesha JB MPIANA apewe tuzo kwa mara ya sita ya Mwimbaji Bora.

Mwaka 2009, JB MPIANA kawa Mwanamuziki pekee wa KICONGO aliye shiriki Mjini WASHINGTON alipo apishwa RAISI BARAK OBAMA, na akiwa huko, akatoa wimbo mwengine wa matangazo ya Bia PRIMUS (KIYUNGUZUNA).

Mwaka 2011, akatoa Album SOYONS SERIEUX (TUJIHESHEMU):

CD 1

1 Mpunda “La Danse du Cheval” (JB Mpiana)

2 Etoile du Berger (JB Mpiana)

3 Engobo “le Gros Bebe” (JB Mpiana)

4 Bolonia “8eme merveille” (JB Mpiana)

5 Loniatara (cedric Guez)

6 Cherie Enlever (Djino Kezipame)

7 Mombamba (Nono Fuji)

8 My Love (Eric Menthe)

9 Mbua (Chai Ngenge)

CD 2

1 Telecommande (JB Mpiana)

2 Code Moral (Abraham Mignon)

3 Amour Infini (Gessan Sakoko)

4 Ezala Zala (Gentamicine Lisimo)

5 Mbeto (Jules Kibens)

6 Boulowook (Sunda Basse)

7 Eloko ya Pema (seguin Manita)

8 Sanguluma (Rio Kazadi)

9 Djiki Djiki (JDL)

10 Loboko (JB Mpiana)

Bonus:

1. Bolingo ya Charlot (Roger Ngandu)-interpret: Athsuda et JB Mpiana

2. Homme d’affaires

WATU WANANENGUA NA MIONDOKO YA PUNDA!!! AMATAKA NA PUNDA AYOKAKA BILENGI (AKIPANDA KWENYE FARASI HUA ANAJISIKIA RAHA!!!)

JB MPIANA kapachikwa majina Mengi saaana :

BIN ADAM,SOUVERAIN PREMIER,PAPA CHERI,LE MARÉCHAL MUKULU,LA STAR DU RÉEL,HÉEO NATIONAL,SALVADORA DE LA PATRIA,L’HOMME QUI A MIS DE L’EAU DANS LE COCO,L’EAU QUI A SUCRÉ LA BANANE,MOTO PAMBA,MWANA CONGO,L’ENFANT DU PAYS,L’ÉTOILE DE DIEU,MOKONZI YA BA WENGÉ,LEADER CHARISMATIQUE,LEADER YA BA OEUVRES, MOKONZI YA FIKIN…

Advertisements

7 Responses to JB Mpiana inaendelea…

 1. Farid 4x4 says:

  JB Mpiana ni mmoja katika wanamuziki ambao wanaifurahisha dunia,
  na jina lake limeandikwa kwa herufi za dhabu katika ulimwengu wa muziki ,mokili mobimba tolingi JB Mpiana.

 2. Kingotolo Mboyo says:

  suala la kuingiza watu ufaransa ni la kawaida kwa wacongo na si JB peke yake. Sidhani kama kua mwanamuziki mcongo asiyewahi kufanya hivi.

 3. joram says:

  Shukurani shana kutembelea Pridefm!
  Show elikuwa Kibawo!

 4. Hadj Le Jbnique says:

  kazi nzuri,nafurahi kuona barza limeanza kuchangamka tena,tuko pamoja,japo hamnioni sana lakini nipo,nashiriki kwa njia ya kusoma wengine wanasema nini ili kujifunza zaidi

 5. Mdau says:

  Kama ni starehe hii sasa imezidi,ahsante bro kwa kutambua mahitaji yetu sisi fans wa muziki huu,mungu jalia blog hii na fans wake Kama ni starehe hii sasa imezidi,ahsante bro kwa kutambua mahitaji yetu sisi fans wa muziki huu,mungu jalia blog hii na fans wake Kama ni starehe hii sasa imezidi,ahsante bro kwa kutambua mahitaji yetu sisi fans wa muziki huu,mungu jalia blog hii na fans wake Kama ni starehe hii sasa imezidi,ahsante bro kwa kutambua mahitaji yetu sisi fans wa muziki huu,mungu jalia blog hii na fans wake wote.

 6. Extremely wonderful site and fantastic and articles or blog posts.worthwhile design and style, as share excellent stuff with very good tips and concepts.

 7. I am really loving the theme/design of your site. Do you ever run into any web browser compatibility issues? A couple of my blog audience have complained about my website not operating correctly in Explorer but looks great in Chrome. Do you have any solutions to help fix this issue?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: