Djino athibitisha kuondoka rasmi Wenge BCBG

Lile sakata la mwanamuziki Djino wa Wenge BCBG hatimaye amethibitisha kuondoka katika kundi la Wenge BCBG.

akinukuliwa na Gazeti la  Journal Visa Mwanamuziki huyo amesema kuwa ameamua kuondoka Wenge BCBG kwa sababu hajui hatimaye yake baada ya kusimamishwa katika kundi hilo. Hata hivyo Djino amesema kuwa bado ataendelea kumheshimu Papaa Mpiana kwa kuwa bila yeye ulimwengu usingemjua, “…ndio baba wa muziki wangu, yeye ndio amenitoa na kunitambulisha kwa dunia namuheshimu na siwezi kubadilishana maneno na yeye ni utovu wa nidhamu…”.

Hata hivyo mwanamuziki huyo amesema kuwa chanzo cha yeye kufarakana na boss wake ni mwanamuziki mwenzie Sunda Bass ambaye anatumia ukaribu wake na JB Mpiana kuwaumiza wengine, hivyo amemuomba boss wake huyo wa zamani kutengeneza utaratibu wa kuwasikiliza wanamuziki wengine kabla ya kutoa maamuzi.

Advertisements

3 Responses to Djino athibitisha kuondoka rasmi Wenge BCBG

  1. Kunjira rugereza says:

    Vizuri sana,nimebahatika kupewa njia tena kutuma ujumbe,ninaona vidumbwizo kabisa,safi sana,

  2. Hadj Le Jbnique says:

    Nasikitika Djino kuondoka kundini,ama kwa hakika bcbg imepoteza mpiganaji mwenye kipaji cha hali ya juu,lakini kama anavyopenda kusema PAPA CHERII mwenyewe Bcbg ni kama timu ya taifa,it is there to stay,wachezaji ndio wanakuja wanacheza wanaondoka wanakuja wengine timu palepale

  3. Good info, exceptional and valuable layout, as share very good stuff with superior concepts and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: