Orijino Komedy: Vengu anaendelea vizuri

VENGU LIST

Kundi la Orijino Komedy wakiwa na mwenzao Vengu ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi, na kwa mujibu wa Masanja Vengu anaendelea vyema.

Baada ya minongono mingi kuhusiana na hali ya msanii mwenzao Vengu, hatimaye memba wa kundi ya Ze Orijino Komedy Masanja mkandamizaji amefunguka na kueleza kuwa msanii mwenzao Joseph Shamba aka Vengu anaendelea vizuri baada ya kurejea kutoka India alikokuwa akitibiwa.

akiandika kwenye ukurasa wake wa Facebook leo Masanja amesema kuwa Vengu bado anaendelea kupata matibabu akiwa nyumbani “Ukweli ni kwamba Ndugu yetu Joseph Shamba (Vengu) yuko nyumbani akiendelea na matibabu yake na uangalizi wa mara kwa mara kwa madaktari baada ya kurejea kutoka India.” alisema masanja na kuongeza “…Muda mwingi tuko naye na tunazidi kumuombea apone na arejee kutoa burudani. Na mnaomuombea mabaya na kumzushia habari za kila aina tunawakabidhi kwa Mungu awajalie busara.”

Habari hizi zimekuja wakati mzuri kwani habari za kuugua na ugonjwa wa Vengu upatikanaji wake si wa wazi licha ya mashabiki na jamii kufahamu kuwa Vengu anaumwa basi.

Tunamuombea mwenyezi Mungu amjalie mja wake aweze kupona na kurejea kazini kulitumikia taifa na jamii kwa ujumla.

26 Responses to Orijino Komedy: Vengu anaendelea vizuri

 1. watanzia naowaombeni tuwe na moyo wakuombea wenye shida sio kuwazushia mabaya.

 2. OLLY says:

  Mungu mkubwa!!! tuzidi kumwombea Vengu apone aweze kurudia uringoni. Wazushi nao pia tuwaombee maana hawajui walisemalo.

 3. Cesy says:

  Wekeni wazi mambo hayo na pia tunahitaji kumwona Vengu live hata kwenye vyombo vya habari

 4. vicent says:

  Tunamuombea, twataka jua tatizo nn kwan wasanii wengine huwa tunaelezwa huyu dogo wa sasa mbona siri. ugua pole man.

 5. Secelela Kivuyo says:

  Mungu azid kumnyoshea mkono wa uponyaje na arejee afya yake. Tunazid kumuombea.

 6. Valence Fredrick says:

  Pole sana Vengu tunazidi kukuombea kwa mwenyezi mungu, kukosekana kwako kwenye kipindi kunatunyima raha sana. Ugua pole na upone haraka.

 7. Neema kivuyo says:

  Pole sana Vengu, MUNGU akutunze,akupe uponyaji. Tunakuombea afya njema.

 8. fatma yusufu says:

  mungu akujalie upate nguvu na hatimae upone kabisa pole kwa mateso ya muda mrefu.

 9. Pole vengu ucvunjike moyo utapna 2

 10. Anonymous says:

  POLE SANA VENGU UTAPONA KAKA USIKATE TAMAA

 11. Morogoro says:

  Tunakuombea kwa mungu kaka ye2 upone haraka kwan tumekumic xana mungu akujaze moyo na uponyaji upone 2weze kukuona tena

 12. mwananyamala says:

  poe kaka vengu

 13. Having read this I believed it was really enlightening.
  I appreciate you spending some time and effort to put this short article together.

  I once again find myself spending way too much time both reading and
  leaving comments. But so what, it was still worthwhile!

 14. Hao wanazusha mambo ya ajabu ni mapepo hata hawamwogopi mungu,2we na huruma watanzania

 15. Alice g says:

  Ikiwa tuko mwisho wa mwaka nivizuri tukijua hali za wasanii wetu ambao wagonjwa nikianza na vengu aka shamba anaendeleaje? Na yuko wapi

 16. shaqsi says:

  mungu amsaidie apone jaman

 17. Anonymous says:

  pole sana vengu ujapona nduguyangu

 18. NEY says:

  jaman vengu tumikumic,cku jitokeze 2 kidogo kwny ok

 19. Anonymous says:

  Pole sana vengu,mungu yupo kwa ajili yako,kwa uwezo wa mungu utapona tunazid kukuombea kaka.

 20. Anonymous says:

  Mungu msaidie kijana huyu apone

 21. 12.08.2014 says:

  pole kaka mumgu atakusaidia kwan kuugua sio kufa

 22. Anonymous says:

  Mumgu ampe maisha marefu

 23. maryam bombo says:

  pole kaka kwa ku teseka kwa muda mrefu mungu yupamoja na wewe utapona ,yaa Allah mfanyie wepesi kaka yetu mpendwa apone

 24. Joey Debien says:

  I surely delight in each minor little bit of it and I’ve you bookmarked to verify out new stuff of one’s web site a should read through blog site!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: