Dizoizo ya Allain Prince Makaba

 

Dizoizo ni mmoja ya nyimbo zilizokuwa kwenye Albamu ya Pentagone, moja ya albamu bora kabisa zilizowafikisha Wenge walipo kabla ya kuparanganyika.

Huu wimbo huu ni utunzi wake Allain Prince Makaba , Napenda sana walivyoimba kwenye wimbo huu hasa verse ya Mpela na Werrason kiukweli wameimba vizuri mnooo nitauchambua wimbo huu na kukuelezea kila kitu ndani yake, stay tuned, hii ndio Spoti na Starehe.

Advertisements

5 Responses to Dizoizo ya Allain Prince Makaba

 1. Glady says:

  Me ni mdau mpya nilifurahi sana kuigundua hii blog, dizoizo ni wimbo bora kwangu kwenye albamu ya pentagone, wamepangilia sauti, viombo vimepigwa kwenye utaalamu wa juu kabisa, tuchambulie na lakala moto utunzi wa blaise bula kwenye albamu ya titanice

 2. Hadj Le Jbnique says:

  Yap! Dizoizo kazi bora kabisa kutoka kwa Alee Prince Makaba Internet ”bayoka milangi di” ..kiufupi kwenye hii album ya pentagone kila mtu aliumiza kichwa kutunga na wapigaji vyombo wakiongozwa na makaba mwenyewe-solo,Le Foundateur Didier Masela,Patience kusangila,Ficaree Mwamba,Titinaa Alcapone kwenye drums,Ali mbonda kwenye tumba waliifanya kazi yao sawasawa

 3. Silas Kisusi says:

  Ni kweli Dizo Izo ni wimbo uliopangika vizuri.Usisahau ghani za mzee mzima Elongo Ebodja Dominguez Le Adolphe kwan aliutimizia haki yake huu wimbo.kuna nyimbo zingne kama la varite,coco madimba na l’an 2000 zisikilize kisha uniambie mshikamano ktk uimbaji wake.

 4. As soon as I imagined about items like: why such details is without cost right here? When you write a guide then no less than on selling a guide you get a percentage, because. Thank you and fantastic luck on informing people extra about this.

 5. Hello! This is my first visit to your blog! We are a team of volunteers and starting a new initiative in a community in the same niche. Your blog provided us beneficial information to work on. You have done a marvellous job!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: