Breaking News: Sajuki Afariki dunia

Habari zilizotufikia asubuhi hii zinasema kuwa muigizaji toka familia ya Bongo Movie Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki Amefariki Dunia alfajiri ya leo.

Sajuki amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kukaukiwa na damu mara kwa mara maradhi yaliyomsumbua kwa muda mrefu mara ya mwisho alitibiwa nchini India ambako alikaa kwa muda kidogo.

Sajuki alikuwa amelazwa hospitali ya taifa ya Muhimbili kabla mauti kumkuta alfajiri ya leo. Hivi karibuni kundi la wasanii walifanya Tamasha kuchangia muendelezo wa matibabu ya msanii huyo ambapo ghafla alianguka jukwaani alipoombwa awasalimie mashabiki katika uwanja wa Sheikh Amri Beid huko Arusha.

Buriani Sajuki, mashabiki wako wataendelea kukukumbuka daima. Bwana alitoa na bw

12 Responses to Breaking News: Sajuki Afariki dunia

 1. Anonymous says:

  Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani amen

 2. Anonymous says:

  Inahuzunisha sana kwa wasanii kutoweka duniani wakiwa na umri mdogo.

 3. Anonymous says:

  bongo movie polen saana kwa kumpoteza mwenzenu mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu

 4. Anonymous says:

  ulale pema pepon sajuki

 5. Anonymous says:

  pollen Sana

 6. Anonymous says:

  R.I.P.Sajuki we love you so much and we are going to miss you

 7. Anonymous says:

  Rate this rest in piece

 8. AUGUSTINE MRAMBA says:

  REST IN PEACE SAJUKI.

 9. tutukutana wote hukoooo

 10. wahida says:

  hakika kila nafsi itaonja umauti
  mungu akulaze mahala pema pepon(Amin)
  tupo kwenye foleni kila binaadamu na siku ikifik hakuna wa kuuiya
  (innaa lilah waina illahi rajuun)

 11. kigeme says:

  Turikuwa tunapenda sana unavyo igiza lakini Mungu ndie mwenye neno la mwisho, anatoa na anatwaa unapo fika muda. Kila mtu na zamu yake.

 12. Admiring the time and effort you put into your blog and in depth information you provide. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed information. Wonderful read! I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: