Werasson kwa Sebene hatariiiii

9 Responses to Werasson kwa Sebene hatariiiii

 1. Kingotolo Mboyo says:

  Huyu ni kiboko ya JB. Yaani hapa JB haoni ndani hata kidogo na tena siku hizi naona anazidi kufulia zaidi.

 2. kunjira rugereza says:

  Aksante sana,nimeona mambo,ninashabikia,ila wako nusu utupu,ninafurahi sana kabisa,Ndugu mimi watu wameisha kabisa,Mwami wa Bafuliru uvira south kivu congo,amefariki akiwa haspitalini Nairobi,tuko katika mazikitiko,aksanteni sana tupo wote.

 3. richard malewa says:

  happy birthday Igwe happy birthday dear Le Phenomena happy birthday Le Roi de la Forret Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! X Mass hii ya leo.

 4. salim says:

  dah! Werrason ya Celeo na Bill Kalonji kumbe?… akheri zamani hizo

 5. Prince George says:

  Kila mtu ana uwezo wake binafsi kimuziki ndio maana mashabiki tumegawanyika wengine kwa Werrason na wengine kwa Jb Mpiana,hivyo basi tu comment kuchangamsha mada kwani muziki wa dansi namaanisha lingala n.k una watu na ndio sisi,mdau mpya

 6. Kunjira rugereza says:

  Music ni nzuri sana,ni kipaji kizuri sana.

 7. kashindi wakilongo assure. says:

  Kiukweli jamani werrason kwa mziki wa dence ni noma, mm binafsi namkubali sana ajawahi kufanya vibaya, hongera sana igweeeeeeeeeeeeeee tuko pamoja.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: