WASANII WAKONGWE WAMTEMBELEA JK IKULU.

 

Picha juu Rais jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam leo.

Rais jakaya kikwete akimshukuru Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Dansi nchini King Kiki

Mr Waziri Ally kutoka bendi ya kilimanjaro Band wana Njenje akitoa salaam za shukrani na pongezi kwa niamba ya ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam leo — in Dar es Salaam.

 

Rais Jakaya kikwete akijadiliana jambo na Mwanamuziki Mkongwe kutoka Bendi ya Kilimanjaro Band Wana Njenje Bw Waziri Ally Muda mfupi baada ya ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam leo — in Dar es Salaam.

Picha zote na Ikulu

Advertisements

One Response to WASANII WAKONGWE WAMTEMBELEA JK IKULU.

  1. AUGUSTINE MRAMBA says:

    Ni vizuri sana wasanii kukutana na viongozi wao hosusni wa kisiasa angalau wabadilishane mawazo.Ahsante sana Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kukubali ombi la kuonana na wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: