Habari njema kwa Mashabiki wa Werasson

Habari njema kwa mashabiki wa Werason, Igwee anatarajia kuja nchini karibuni, bado mipango ya awali ndio iko mbioni,, usia wangu tu kwa wanaotaka kumleta msituwekee na Local Bands kwani hawa wanamuziki wanajitosheleza wenyewe acheni tule burudani ya kutosha hata ikiwa ni masaa mawili tu, kwani sisi tunakwenda kumuona yeye na si Local Bands, hizi tunaziona kila siku.

Tutaendelea kufahamishana hapa hapa kuhusu ujio huu mambo yakiwa tayari.

“@

17 Responses to Habari njema kwa Mashabiki wa Werasson

 1. Anonymous says:

  Whaaat?!!!!!! Kweli bwana walitunyima haki yetu siku ile ya Koffi Leaders

 2. Anonymous says:

  ila kwa wakati wengine unaweza kuwashukuru wale militants wa Ulaya kwa sababu sasa jamaa wanafanya ziara nyingi africa kufidia mapengo. tungewaona wapi huku tanzania.

 3. Anonymous says:

  Inaonekana kama mpambano wa Skol vs Primus unahamia Bongo ambapo Tusker VS Kilimanjaro . Ndiyo furaha yetu mashabiki. Club E Walitutupa Mkono baada ya kuona wametawala soko.

  Richard Malewa

 4. Farid 4x4 says:

  Safi sana ,
  natamani ningekua Dar nikapata kumuona Wera na Wenge

 5. kunjira rugereza says:

  Nina support Hii kituo cha Habari ambacho kinanifurahisha sana,kwa habari nzuri za midundo,na vingine,ila nilichelewa kutoonekana, kwa sababu tuliwapoteza watu huko congo,ambao walifia kwenye migoti ya kolta,udongo uliwameza,kwahiyo nilichelewa,lakini tupo wote kila siku.

 6. Anonymous says:

  Kunjira rugereza na kati ya wapi papa? Goma au Kin?

 7. PAPA RICH MALEWA says:

  Nilichukizwa sana na ile interview kati ya Ruambo de Zaire na hao watoto wa Clouds.
  Jamani akina Pius muwasaidie hao vijana siyo kujipaka paka rangi na kujiita majina marefu wakati kichwani ni sifuri kabisa. Walikuwa wanajiuma uma tu na kwa sababu hawakufanya research yao vizuri walipoteza nafasi ADIMU sana ya kusikia toka mdomoni mwake mambo meeengi na mustakabali wa Muziki wa Kilingala. Kwa mafano mambo kama haya tulimtaka Mopao atuelezeee.
  1. Historia fupi ya Maisha yake
  2. Alijiingiza vipi kwenye Muziki
  3. Ni kweli alikuwa Mwandishi wa muziki wa Papa Wemba?
  4. Ni kweli alikuwa mshirika pamoja na Felix Wazekwa?
  5. Kwanini aligombana na Papa Wemba na Wazekwa ? ni Kweli?
  6. Kama aligombana nao bado kweli ana Bifu nao?
  7. Asili ya muziki Tchacho ni wapi? Ni Miziki ya Kilingala au Ghana toka kwa Baba yake?
  8. Yeye anajiona zaidi kama kiwakilishi cha Muziki wa DRC au anajiona wa Kimataifa zaidi?
  9. Kwa nini aliamua kublend style ya Tchacho na kuanza kushindana na Wenge ya Zamani?
  10. Anaona vipi ushindani wake kipindi kile nyuma na Wenge na sasa hivi na Manguli kaka Werrason,JB Mpiana, Wazekwa na Vijana wanaokuja kwa kasi kam Ferre Golan, Soleil Wanga, Fabregas a Fally Ipupa?
  11. Anafikiri kwa hawa vijana kuingiza vionjo vya pops na kufanya kolabo na wanamuziki wakubwa wa Marekani wanaua muziki wa Kongo?
  12. Kwa nini amekuwa akihusishwa mara kwa mara kwenye ugomvi wa kupora wanamuziki wazuri wa wenzake? Ana wivu wenzake wanavyofanya vizuri? Toa mifano miwili mitatu kama wanamuziki wa Wazekwa na Titina wa BCBG?
  13. Kwa nini wanamuziki huwa wanamkimbia baada ya Albamu zake ku-hit? Anawatia ndani?
  14. Kikosi kipi anakiona kikali kwake toka aanze Quarter Latie ni kile cha Akina Suzuki au kile cha Akina Fally Ipupa au hiki cha akina Cindy?
  15. Anamzimia nani kwenye kuimba , kughani, solo au kupangilia miziki Congo toka zama hizo mpaka leo?
  16. Je yeye ni Tycoon? Ana utajiri wa kiasi gani? Naambiwa una mahoteli nk.?

  YAANI MAMBO NI MENGI NA HAYA MASWALI SIYO LAZIMA YAWE KWENYE MTIRIRIKO HUO BALI KAMA WEWE KWELI NI MDAU NA UNAFUATILIA HAYO MAMBO LAZIMA TU HAYA MASWALI YATAKUJA. WAAMBIE BEN AND COMPANY WASOME NA WAFUATILIE MUZIKI WA CONGO KILINGALA AMBAO NDIYO MUZIKI WA AFRIKA WENGINE SISI TUNAIGILIZIA TU.

  PAPA RICH MALEWA.

  • piusmickys says:

   Da Bro Malewa heshima kwako tunafikiria sawa kabisa, nafasi adimu sana ya kumpata mopao, Ana Blog na fbuk page angeomba tumpe maswali tuu

 8. K'Odero says:

  Wapi haswa?
  Lini haswa?

 9. Hadj Le Jbnique says:

  Mwambieni jos kusaga anitafute anipe kazi ya kuwapika vijana wake au asafiri aende mwanza akamnunue zm zuberi musabaha atamsaidia sana,ben anaonekana ana kichwa kigumu tu cuz kwa muda aliofanya kazi na vile anapenda muziki wa lingala alitakiwa awe much better kuliko alivyo sasa,yani hajui ki2 in congo music wakati anafanya kipindi cha muziki huo,shame on you ben kinyaiya,changamka dunia kijiji nowadays kaka,soma.

  • piusmickys says:

   Ben sio shabiki wa Lingala ni shabiki wa Bongo Dance (Mchinga, Fm Academia, Choki na kina Mapacha wa 3). Amejikuta kwenye muziki ule kwa kuwa ni rafiki wa akina Patcho, ila muziki wa Lingala haujui kabisa.

 10. Paschal M Canisio says:

  Karibu Werra, hapa ndio kuna mashabiki wako.
  Kwanza ndio band inayofanya vizuri kuliko zote Congo.
  Werrason na WMMM ni band inayofanya kazi zake kwa mpangilio wa hali ya juu na hajawahi kulalamikiwa na mashabiki kama wanavyolalamikiwa kin JB,KOFFI nk

 11. Appreciating the time and effort you put into your blog and in depth information you present. It’s great to come across a blog every once in a while that isn’t the same unwanted rehashed material. Great read! I’ve saved your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

 12. I want you to thank for your time of this great read through!

 13. The when I just read a weblog, Lets hope who’s doesnt disappoint me approximately this one. What i’m saying is, Yes, it was my choice to read, but I really thought youd have something interesting to mention. All I hear is usually a handful of whining about something you could fix when you werent too busy in search of attention.

 14. Admiring the commitment you put into your site and in depth information you present. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed information. Excellent read! I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: