Koffi awasha moto Dar

image

Cindy akianza kuimba kabla ya Koffi kupanda Jukwaani

image

Mamaa Cindy akiwajibika jukwaani kibao kilikuwa Aspirine

image

Koffi akimtambulisha Boss Kusaga na kutoa shukrani zake kwa kumleta tena nchini

image

Quadra Kora Man Le Grand Fororo Koffi akiwa jukwaani katika tamasha la Tusker Carnival usiku wa kiamkia leo.

image

Koffi akienda Sambamba na Cindy na warembo wake

image

Stage show wa Koffi wakiwajibika jukwaani na kutoa burudani ya uhakika

image

Mashabiki wamekaa wakifatilia show. Ferre Gola aliwahi kukataa na kuomba viti vitolewe akisema anataka watu wacheze sio wakae ye hafanyi maigizo.

image

Stage shows

image

Koffi na vijana wake

Stage

image

Stage

Picha zote kwa hisani kubwa kabisa ya Mzee wa Jiachie.

Advertisements

5 Responses to Koffi awasha moto Dar

 1. Anonymous says:

  Hili onyesho lilivyana lingekuwa ni la Bwana Mdogo Mpianahuku ndani tusingelala.

 2. Lebcbgbanaarusha says:

  ..mashabiki..mnatia aibu…huo si mkutano wa ………

 3. Hadj Le Jbnique says:

  Mpiana hafanyi maigizo anapiga show ya kucheza sio kukaa vitini!

 4. AUGUSTINE MRAMBA says:

  Grand mopoa wewe bado ni moto wa kuotea mbali.

 5. Prince George says:

  Heshima kwako bro Pius Micky,mm ni shabiki mkubwa wa huu muziki wa dansi hasa Congo ndio zaidi kuliko Tz 7bu huku kwetu ubunifu hakuna kila siku ni kuiga tu inachosha sana,ombi langu kwako na wadau wa spoti na starehe mnikaribishe mjengoni 7bu nimefuatilia hii blog kwa muda kdg nimeona imekamilika kwa asilimia zote kwa sisi wadau wa muziki huu ila kufungua e mail ndio kumenichelewesha ku share mengi,Napenda wanamuziki wote wa Congo lkn mm mwana”Quartier Latin” damu kwani team iliyosongesha Album ya Affaire D’etat sitaisahau kamwe kwali ilikuwa kama Galacticos ya Real Madrid zama za kina Ronaldo de Lima,Zidane,Raul,Figo n.k,= Fally Ipupa,Bouro Mpella,Gibson Cardinal B,Lola Mwana,Deo Brando,Mudogo Abarambwa,Atalaku “Kerosene na Brigade Lwinga kwa sasa yupo Maison Mere,Vyombo au muziki wenyewe,Titina Alcapone,drums”Binda Bass guitar na Felly Dimbedi,Tyson”Solo guitar,hao ni baadhi ya ninaowakumbuka watu wangu,Mnipokee mwana Quartier Latin,Merciii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: