Yusuf Monde Arabe; Toka FM Academia hadi kwa Quartier Latin Kwa Koffi

Enter video caption here

koffi olomide

Kuna story ukizikisia za wanamuziki zinasisimua, lakini kikubwa kila mwanamuziki ukimuuliza atakwambia ama anataka aje kuwa mtu mkubwa anayekubalika au aje kufanya kazi kwenye bendi kubwa.

Kipindi FM Academia imesimama inao kundini wanamuziki wake mahiri akina Mule Mule FBI Liberko la Loi, akina Jose Mara ambaye sasa ni mmoja wa wamiliki wa Mapacha watatu, na wengineo wengi pia alikuwepo mtu anayejulikana kama Yusuf Monde Arabe, huyu bwana kama ukisikiliza kibao cha Acha Tamaaa kilichotungwa na Karbeza kuanzia 5:28 hadi 5:53 kabla ya Verse ya Jose Mara ni yeye ameimba hapo ingawa kwenye video hii sio picha yake inaonekani kwani aliondoka kabla shooting ya Video hii.

Hii albamu yenye nyimbo kama Anna, Balaa, Acha Tamaa na nyinginezo kwangu inabaki kuwa ni moja ya Albamu Bora kabisa za FM Academia na itabidi wafanye kazi sana kurudi kwenye level hii.

Yusuf alitimkia Uarabuni Dubai huko ambako hata Mule Mule anafanya kazi huko, na ndipo alipotimiza ndoto yake na kukutana na Koffi Olomide ambaye alikuwa mapumzikoni, kwa vile Koffi alikuwa amepungukiwa na wanamuziki na alikuwa anatafuta vipaji kipaji cha kijana huyu kikamvutia na kumchukua kwa majaribio hatimaye akafaulu na kusajiliwa kwenye The Dream Team ya Quarter Latin. Leo tunashuhudia Yusuf akirejea na nguli nambari moja kwenye muziki wa Dansi Afrika. kwangu mimi hapa lipo la  kujifunza kwa wanamuziki wetu kiasi kwamba nao wanaweza kujituma wakafika huko juu, majuzi niliambiwa kuna mwanadada liwahi kucheza Akudo Sound na sasa yuko kwa JB Mpiana.

Kazi kwenu wanamuziki wa Bongo umizeni vichwa na sisi tuupeleke muziki wetu nje ya mipaka yetu.

5 Responses to Yusuf Monde Arabe; Toka FM Academia hadi kwa Quartier Latin Kwa Koffi

 1. kunjira rugereza says:

  kusema kweli,wanamusiki na wacheza filamu,ni watu ambao wana chemusha nchi,lakini ukitazama vizuri,wanasahauliwa sana na GVMT ambazo zinao walea,kakini hao ni makundi ambazo sinastahili kupongezwa sana na GVMT sana kwa kupa nguvu za kuendelea,yangu maoni.

 2. Prince George says:

  Hujakosea kaka yule dada aliyekuwa dancer wa AKUDO IMPACT alitoka Quartier Latin kwa KOFFI kisanii anaitwa Shou shou”Shushuu”angalia Album Attentat wimbo namba (2)Victoire ndio alikuwa kiongozi wa dancers wa kike,na hata alipokuja akudo alipewa cheo hicho kwa uhakika angalia wimbo WALIMWENGU SIO BINADAM utamuona,naamini anaipenda kazi yake na anakubalika kwa uwezo wake,wapi wadada wa bongo(dancers)?kama kweli mna nia na malengo ya kufika level ya juu masikhara wekeni pembeni heshimuni kazi,huenda siku tukawaona OLYMPIA,BERCY na ZENITH DE PARIS.ni mtazamo wangu ndg zangu na sio sheria msijenge beef,merHujakosea kaka yule dada aliyekuwa dancer wa AKUDO IMPACT alitoka Quartier Latin kwa KOFFI kisanii anaitwa Shou shou”Shushuu”angalia Album Attentat wimbo namba (2)Victoire ndio alikuwa kiongozi wa dancers wa kike,na hata alipokuja akudo alipewa cheo hicho kwa uhakika angalia wimbo WALIMWENGU SIO BINADAM utamuona,naamini anaipenda kazi yake na anakubalika kwa uwezo wake,wapi wadada wa bongo(dancers)?kama kweli mna nia na malengo ya kufika level ya juu masikhara wekeni pembeni heshimuni kazi,huenda siku tukawaona OLYMPIA,BERCY na ZENITH DE PARIS.ni mtazamo wangu ndg zangu na sio sheria msijenge beef,merHujakosea kaka yule dada aliyekuwa dancer wa AKUDO IMPACT alitoka Quartier Latin kwa KOFFI kisanii anaitwa Shou shou”Shushuu”angalia Album Attentat wimbo namba (2)Victoire ndio alikuwa kiongozi wa dancers wa kike,na hata alipokuja akudo alipewa cheo hicho kwa uhakika angalia wimbo WALIMWENGU SIO BINADAM utamuona,naamini anaipenda kazi yake na anakubalika kwa uwezo wake,wapi wadada wa bongo(dancers)?kama kweli mna nia na malengo ya kufika level ya juu masikhara wekeni pembeni heshimuni kazi,huenda siku tukawaona OLYMPIA,BERCY na ZENITH DE PARIS.ni mtazamo wangu ndg zangu na sio sheria msijenge beef,merHujakosea kaka yule dada aliyekuwa dancer wa AKUDO IMPACT alitoka Quartier Latin kwa KOFFI kisanii anaitwa Shou shou”Shushuu”angalia Album Attentat wimbo namba (2)Victoire ndio alikuwa kiongozi wa dancers wa kike,na hata alipokuja akudo alipewa cheo hicho kwa uhakika angalia wimbo WALIMWENGU SIO BINADAM utamuona,naamini anaipenda kazi yake na anakubalika kwa uwezo wake,wapi wadada wa bongo(dancers)?kama kweli mna nia na malengo ya kufika level ya juu masikhara wekeni pembeni heshimuni kazi,huenda siku tukawaona OLYMPIA,BERCY na ZENITH DE PARIS.ni mtazamo wangu ndg zangu na sio sheria msijenge beef,merciii

 3. Prince George says:

  Hujakosea kaka yule dada aliyekuwa dancer wa AKUDO IMPACT alitoka Quartier Latin kwa KOFFI kisanii anaitwa Shou shou”Shushuu”angalia Album Attentat wimbo namba (2)Victoire ndio alikuwa kiongozi wa dancers wa kike,na hata alipokuja akudo alipewa cheo hicho kwa uhakika angalia wimbo WALIMWENGU SIO BINADAM utamuona,naamini anaipenda kazi yake na anakubalika kwa uwezo wake,wapi wadada wa bongo(dancers)?kama kweli mna nia na malengo ya kufika level ya juu masikhara wekeni pembeni heshimuni kazi,huenda siku tukawaona OLYMPIA,BERCY na ZENITH DE PARIS.ni mtazamo wangu ndg zangu na sio sheria msijenge beef,merciii

 4. Admiring the hard work you put into your site and in depth information you present. It’s great to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed information. Excellent read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

 5. Pretty sure he’ll have a great go through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: