Fally Ipupa asherehekea Birthday yake leo kwa kuzindua Wimbo Mpya “Sweet Life”

image

Ni Mmoja wa vijana wa Koffi Olomide ambaye amefanikiwa sana kwa sasa na ana portion yake kwa mashabiki na kwenye soko la muziki wa Dansi ulimwenguni.

Leo tarehe 14 December ndio siku ya kuzaliwa ya mwanamuziki Fally Ipupa huku akiizindua Single yake inayokwenda kwa jina la Sweet Life. Fally ni mmoja ya wanamuziki ambao wametoka mbali sana kwenye soko la Muziki huku nyota yake ikianza kung’ara kwenye kundi la Quartier Latin lakwake Koffi Olomide akisikika vizuri kwenye wimbo kama Sylivie na nyinginezo.

Mahadhi ya wimbo huu hayako kwenye Bolingo kama tulivyozoea ila uko kwenye mahadhi fulani kama R n B, Fally alisema nia yake ni kuupeleka muziki wa Congo kwenye level nyingine kabisa, na sasa tunaona hata aina ya muziki anayopiga, haya yanaweza kuwa mageuzi kwenye hiki kinachojulikana kama kizazi cha tano kwani hata Ferre Gola naye anatoa nyimbo akiwashirikisha magwiji kama Celine Deon na Rick Rossy.

Ikumbukwe pia Fally alishawahi kufanya interview Kwa JB Mpiana wakati bendi ikiundwa upya lakini bado alikuwa na ndoto ya kutoka kivyake kwani alikataa mpango wa kusaini mkataba wa muda mrefu. Leo hii tunashuhudia Fally akiwa na mashabiki lukuki huku akizindua albamu na zote zikiwa na nyimbo nzuri.

4 Responses to Fally Ipupa asherehekea Birthday yake leo kwa kuzindua Wimbo Mpya “Sweet Life”

  1. Ndombe says:

    Hii ndio Spoti na starehe bwana kitu kimezinduliwa leo na leo leo kimo tisha sana mkuu

  2. Predator says:

    FALLY AMEANZA KUPOTEA NJIA SASA, KAMA HIVI NDIVO VITU AMEINGILIA

  3. My partner and I stumbled over here different website and thought I may as well check things out. I like what I see so i am just following you. Look forward to finding out about your web page yet again.

  4. Nga Haapala says:

    I surely appreciate each and every very little bit of it and I’ve you bookmarked to verify out new things of one’s blog a will have to go through blog!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: