Koffi na Cle Bora, Diamond muzika na Mapenzi

Mwenyewe anadai anapiga anaina tofauti kabisa ya Muziki ukilinganisha na wanamuziki wengine. Ikumbukwe kuwa Koffi hana asili ya Kongo ni mmoja wa wazazi wake ndio wenyeji wa Kongo hivyo basi anasema wakati mwingine huwa anachanganya midundo ya asili na muziki wa Afri Pop na kupata ladha ambayo inapatikana kwenye nyimbo zake.

Tofauti na JB Mpiana, Werrasson na wengine ambao utaona solorist anaongoza mziki kwa Koffi utazisikia zaidi Drums na Tumba zikiongoza. Jaribu kusikiliza kibao hiki kisha nipe maoni yako.

Ukisikiliza huu wimbo wa Mapenzi ni kitu gani wa Diamond Muzika utaguandua kuwa waliiga wimbo huu hapo juu kwa kiasi kikubwa mpangilio wa sauri, ndio maana kila siku huwa nasema kwa wanaojua muziki hawa wa congo wanaoimba hapa nyimbo nyingi huwa wanaiga za kwenye albamu za wacongo wenzao ambazo zili heat lakini hazikuwa na air time za kutosha ama kutopigwa kabisa hapa kwetu.

Kwangu mimi siwezi kusifia unapo irejea kazi ya mtu kwani usanii na heshima ni pale unapotunga maneno yawe wimbo yaimbike na yawe kwenye rhythm gani na si hapo tu chombo gani kianze na kipi kifatie mpaka ukatoka muziki mzima.

Jipangeni na mtoke kivyenu kama mnataka kufika mbali kama nia ni kutuurudisha siku ziende mgange njaa kibongo bongo mtaishia hapo hapo tuu.

Ni mtazamo tuu. Wiki hii tutajaribu kumuangalia Koffi na Post ambazo tuliwahi kuziandika hapa hapa kwa heshima ya ujio wake.

Advertisements

9 Responses to Koffi na Cle Bora, Diamond muzika na Mapenzi

 1. Anonymous says:

  HAWA JAMAA ZENU WACONGO WA BONGO HAWANAGA JIPYA MI NASHANGAA KUNA WATU BADO WANAWALINGANISHA ETI NA KINA JB….NYIMBO ZOTE NA MITINDG YOTE WANAIGA NENDA NGWASUMA PALE KAMA HUKUKUTA WANCHEZA ROTAROTA NA BILOKO WAKIWA WAMEBADILISHA MAJINA LAKINI KWA ANAYEJUA HIYO MITINDO AKIONA ATAJUA NA KUWADHARAU

 2. Anonymous says:

  duuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa kukopi kama wachina vile

 3. chembera says:

  yap,ni kweli wanakopi…mfano mwingine ni nyimbo ya sumu ya mapenzi ya twanga na chokolaa…imekopiwa toka kwa live sebene moja la felixe wazekwa,yaani mpaka rapp ya ”ukabila,ukabila na udini….” walichofanya ni kubadilisha lugha tu….pumbafffffff.

 4. Jembe says:

  HII BLOG SASA INAELEKEA KUZIMU. HII POST INARUDIWA MARA YA 3 SASA. TULISHATOA MAONI HUKO NYUMA, HAKUNA HAJA YA KUIRUDISHA TENA, LETE MAMBO MAPYA.

 5. Piusmickys says:

  “…Kama nilivyoahidi wiki hii na ijayo tutaangalia zile Posts ambazo zilimhusu Koffi Olomide kwa mwaka huu kuwakumbusha mambo muhimu yanayomhusu mwanamuziki huyu ambayo mashabiki wa burudani wanependa kuyajua….” Mwisho wa Kunukuu

  Bwana Jembe hapo ni nini ambacho hakieleweki Mkuu?

 6. Jembe says:

  Poa mkuu hapo nimekupata, tupo pamoja…! Together we stand….!

 7. Anonymous says:

  mjombaa we amakwel mkal umeshkilia nafas ya kanumba umefuta majonz yetu.

 8. plenty of excellent info and inspiration, each of which I require, thanks to present this kind of a helpful information right here.

 9. Chu Wengler says:

  Its my great pleasure to visit your blog site and to get pleasure from your excellent posts here. I like it a great deal. I can come to feel you paid significantly consideration for anyone articles or blog posts, as all of them make sense and therefore are extremely beneficial.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: