Pardon ya Jean Barlon wa Loketo Group

Kwa wale wenzangu na mimi tulioanza kuupenda muziki huu siku nyingi utakuwa unawakumbuka Loketo Group ambao walikuwa wakiongozwa na mtu mzima Aurlus Mabere, ndani yake kulikuwa na watu kama Jean Barlon, Lucien Bokilo, Mac Macaire, Diblo Dibala, Mimi Kazidona na wengineo wengi.

kiukweli wakati ule muziki huu kwa hapa kwetu ndio ulikuwa uko juu sana na hawa jamaa walikuwa wako juu vile vile ingawa wengi wao waliondoka na kutoka kivyao. Wimbo huu unaitwa Pardon unamuonyesha mwanamuziki ambaye nilikuwa nampenda sana kwenye kundi lile, Jean Barlow. kwa yeyote anayejua walipo hawa jamaa atupie hapa.

Advertisements

7 Responses to Pardon ya Jean Barlon wa Loketo Group

 1. Anonymous says:

  Jean Baron alikwishafariki

 2. Vincent says:

  Jean Baron amefariki kitambo sana kama sikosei ni 97′,LOKETO lilianzishwa mwaka 1986,mwaka 1991 likagawanyika,mwaka huo 1991 diblo akaanzisha kundi lake la ‘MATCHATCHA’na JEAN BARON naye akatoa album yake yenye nyimbo kama ‘Mami Lolo’,Ominao ou’,’koudia ndambou’,’pantalon moriba’,’malou’etc
  Loketo Group: aurlus mabele,Jean Baron,Luciana Bokilo(raper)
  Miguel Yamba,diblo dibala,Dally Kimoko,Sah Lomon,Lolin Mbuta(guitarists)
  Awilo longomba,Mac Mackaire(drums)
  Producer: JIMMY INT.PRODUCTION

 3. MRISHO MRISHO says:

  JAMAA WALIKUWA WANATISHA NOMAAA!

 4. ISAAC CHESA says:

  hawa jamaa kama wangekua pamoja hadi sasa sidhani kama tungeongea mambo ya akina ferre na fally

  • Jose kongolo says:

   Nakubaliana na wewe wangeendelea pamoja Sasa hivi mambo ya kina fally hatungekuwa tunaongea muziki wao ulikuwa wa kiafrika sio ujinga wa sasa wa tattoo xa kina ferre gola

 5. The problems which u have discussed in this article is very much common nowadays . Thank You so much for providing me the tips

 6. Verda Shear says:

  I want you to thank to your time of this wonderful study!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: