Gangnam Style vs Mpunda Style ya Wenge BCBG we Mbaya weweeee!!!!

Angekuwa ni Joti sijui ni nani angemwambia We Mbaya wewe kwani Gangnam Style, ndio habari ya duniani kwa sasa, hii ni Video ya Wimbo ambao ni wa Korea, ni Style ambayo asili yake ni huko Korea huyu mwanamuziki huyu akiwa ni wa pili kwa video yake kutazamwa mara nyingi zaidi ambapo mpaka leo imetazamwa mara Milioni 861,218,607 kwenye mtandao wa You Tube.

Bado wataalamu wa mambo ya mtandao wanasema Video hii ni ya kwanza na si yapili kwani baada ya kutoka ziliwekwa nyingine ambazo nazo zina wa mamilioni ya watu kwa hiyo kama ingekuwa peke yake hesabu zote zingekuwa za hiyo moja.

Style ya wimbo huu inafanana kiasi fulani na style ya Mpunda Style ambayo inachezwa na Wenge BCBG. Ukiangalia utaona jamaa wanacheza mikono iko juu kama wanaendesha pikipiki na miguu wanainua na Mpunda style ni hivyo hivyo sasa angekuwa joti sijui nani angemwambia ame copy hapa, hebu angalia Video hiyo juu na hii hapa chini ya JB Mpiana kisha unipe jibu.

Advertisements

4 Responses to Gangnam Style vs Mpunda Style ya Wenge BCBG we Mbaya weweeee!!!!

  1. ODRAN CHAULA says:

    mbona ina fanana ya JB MPIANA ya KISANOLA?

  2. Bhikolo Ngona says:

    kwa mtazamo wangu ni kwamba style zinafanana isipokuwa zinachezwa katk mahadhi tofauti. Gangnam iko ktk style ya hiphop (korean hiphop) wakati mpunda iko katka mahadhi ya soukouss. je, ni nani bingwa wa ku-copy?

  3. Hadj Le Jbnique says:

    Nilikua naifuatilia on google-u tube,naona na yenyewe wanaiita mkifaransa kama LA DANCE DU CHEVAL kama mpunda style inavoitwa yani dansi ya farasi a.k.a. Mpunda mkilingala

  4. Its my excellent pleasure to visit your blog and also to enjoy your good posts right here. I like it a lot. I can really feel that you simply paid significantly interest for anyone articles, as all of them make sense and therefore are very useful.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: